Hata majibu yake ya kingosha ya kupanic hujayaona? ๐นBaada ya kukutana na Kiswanglish kwenye huu uzi,nimeamua kukuamini kua mleta mada ndio yule Kijana.
Je, ni maneno gani hayo ndugu. Nimepanic wapi na kwanini unasema wanifanlhamu kama umenizaa? Mbona wewe ni msumbufu namna hii?Hata majibu yake ya kingosha ya kupanic hujayaona? ๐น
Yani huyu namjua kama nimemzaa, mi hawezi kunidanganya..!
Kuwa serious familia.Kijana gani huyo mnayezungumzia hapa, mbona huu uzi umebadilika umekuwa wa kuongelea mtu asiye fahamika?
Umeanza ujinga wako tena bro.Do you know me?
Ongezea nyama tuone ukubwa wake mkuu.Mada nzuri sana ila kwa mazobe hawatakuelewa sema umepitisha brashi kwa juu juu tu ..ila ni mada nzito sana hii
Kweli na nimewapa code muhimu sana ya maisha ambayo imenichukua almost first quarter of my life kuweza kujua kabisa, ila pia siwezi kushangaa maana kila mtu ana elewa kutokana na level ya awareness yakeMada nzuri sana ila kwa mazobe hawatakuelewa sema umepitisha brashi kwa juu juu tu ..ila ni mada nzito sana hii
Tha same to me mkuu...imenichukua muda Sana with lots of sacrifices ...ningetamani Sana tungekua na kaumoja like group hivi tunaongea tunakutana kuzungumzia hili kwa undani na kila mmoja kua case studyKweli na nimewapa code muhimu sana ya maisha ambayo imenichukua almost first quarter of my life kuweza kujua kabisa, ila pia siwezi kushangaa maana kila mtu ana elewa kutokana na level ya awareness yake
Ni kweli ingependeza ila kama ujuavyo hapa tunatumia ID feki so ni kheri tunge endelea ku address haya mambo kwa namna hii hii tuTha same to me mkuu...imenichukua muda Sana with lots of sacrifices ...ningetamani Sana tungekua na kaumoja like group hivi tunaongea tunakutana kuzungumzia hili kwa undani na kila mmoja kua case study
Wakati nasoma uzi nikaangalia date joined , hapa nilikuwa nishaanza kuandika comment na kukutag kuuliza "Mbona kama chiwawa huyu," ๐Ulipigwa ban kwa kosa gani Chiwawa? ๐น
Sawa kiongoziAisee jamaa uko vizuri hizi ni post zako za awali zina madini endelea hivyo hivyo usije baadae ukalofazwa na machawa wa humu na jingine humu tulishakubaliana biblia inajikanganya tusiifanyie reference yoyote pia tulijadili Qu'ran haieleweki na inaokotaokota vitu kutoka kwenye vitabu vya imani nyingine kisha baadae wanawaita hao wenye hicho kitabu walichoiba idea zake makafir
Je, Chiwawa ndo mdudu gani?