Hivi kumbe ratiba ya ligi kuu 2021/22 bado tu haijatoka?

Utopologist

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2021
Posts
998
Reaction score
2,506
Seriously, hivi hawa tff wana matope kwenye vichwa vyao ama??

Ni dunia ya wapi ratiba ya ligi bado haijatoka wiki chache kabla ya ligi kuanza?? Au wanataka ligi ianze december?

Ratiba za EPL, BL zilishatoka tangu June, hawa wapumbavu huku bado wanasubiri nini?
 
Halafu nitashangaa sana kuona timu zikicheza mechi 3 mfululizo za ugenini au nyumbani baada ya huu mshiko wa Azam.

Ni hii kusimamisha ligi hovyo hovyo iwe mwisho
 
Viporo vina haribu sana ushindani wa ligi, unakuta ndani ya wiki moja timu ina mechi ya kimataifa na ligi zote Dar kwa Mkapa, eti wanahairisha mechi.
 
Hiyo tuliona madhara yake msimu uliopita tulipigwa 4 na Kaizer baada ya kupoteza match fitness kwa kutocheza mechi yoyote siku 14 wakati wenzetu walishacheza mechi 2 siku 6 kabla.
 
Hiyo bodi ya ligi ni kikundi fulani cha mchongo kimekutana na kuendesha maisha yao kupitia soka.

Ratiba ya ligi nayo mpaka ipigiwe kelele ndipo itoke. Naona hata hakuna haja ya kutoa wawe wanataarifu timu masaa 10 kabla ya mechi kuwa leo unapaswa kucheza na Kagera Sugar.
 
Halafu nitashangaa sana kuona timu zikicheza mechi 3 mfululizo za ugenini au nyumbani baada ya huu mshiko wa Azam.

Ni hii kusimamisha ligi hovyo hovyo iwe mwisho
Lazima iwe hivyo mkuu maana timu bado hazina uwezo wa kukwea pipa
 
Kweli mkuu,

Mpaka tuwe na sgr ambayo itakuwa ni masaa 6 tu kutoka Mwanza hadi Dar haya matatizo yataendelea.
 
Bodi ya ligi ni kikundi fulani cha wahuni yaani ni afadhali kikundi cha Talibani kuliko bodi ya ligi
 
Shida kubwa sana ambayo nilikiona pale TFF siku moja nilipowatembelea ni kua hawana Calenda ya mwaka na pia hawana taarifa sahihi kwa ajili ya shughuli za CAF na FIFA ili waendane na wakati.

Wanacholalamikia ni viwanja vya mpira kuodhiwa ki siasa hivyo matukio ya kisiasa kuharibu ratiba zao badala ya wao ndiyo wawapelekee hao wanasiasa ratiba yao ili zifuatwe.

TFF na bodi ya ligi jitambueni; siyo kila wakati muonekane mpo nyuma ya wakati na iwapo mmeamua kua nyuma ya wakati basi hapo katikati msioneshe dalili ya kua mnataka kwenda na wakati.

UJINGA MTUPU
 
CAF na FIFA wameshatoa calendar muda mrefu tu na hata hao TFF wenyewe wanayo calendar ila ni uzembe mpaka sasa kutokupanga mechi za ligi kuu.
IMG_20210816_132905.jpg
 
Seriously, hivi hawa tff wana matope kwenye vichwa vyao ama??

Ni dunia ya wapi ratiba ya ligi bado haijatoka wiki chache kabla ya ligi kuanza?? Au wanataka ligi ianze december?

Ratiba za EPL, BL zilishatoka tangu June, hawa wapumbavu huku bado wanasubiri nini?
Ratiba inatoka leo
 
Back
Top Bottom