Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Hiyo tuliona madhara yake msimu uliopita tulipigwa 4 na Kaizer baada ya kupoteza match fitness kwa kutocheza mechi yoyote siku 14 wakati wenzetu walishacheza mechi 2 siku 6 kabla.Viporo vina haribu sana ushindani wa ligi, unakuta ndani ya wiki moja timu ina mechi ya kimataifa na ligi zote Dar kwa Mkapa, eti wanahairisha mechi.
Lazima iwe hivyo mkuu maana timu bado hazina uwezo wa kukwea pipaHalafu nitashangaa sana kuona timu zikicheza mechi 3 mfululizo za ugenini au nyumbani baada ya huu mshiko wa Azam.
Ni hii kusimamisha ligi hovyo hovyo iwe mwisho
Kweli mkuu,Lazima iwe hivyo mkuu maana timu bado hazina uwezo wa kukwea pipa
Hahaha we mtu wewe!Bodi ya ligi ni kikundi fulani cha wahuni yaani ni afadhali kikundi cha Talibani kuliko bodi ya ligi
CAF na FIFA wameshatoa calendar muda mrefu tu na hata hao TFF wenyewe wanayo calendar ila ni uzembe mpaka sasa kutokupanga mechi za ligi kuu.Shida kubwa sana ambayo nilikiona pale TFF siku moja nilipowatembelea ni kua hawana Calenda ya mwaka na pia hawana taarifa sahihi kwa ajili ya shughuli za CAF na FIFA ili waendane na wakati.
Wanacholalamikia ni viwanja vya mpira kuodhiwa ki siasa hivyo matukio ya kisiasa kuharibu ratiba zao badala ya wao ndiyo wawapelekee hao wanasiasa ratiba yao ili zifuatwe.
TFF na bodi ya ligi jitambueni; siyo kila wakati muonekane mpo nyuma ya wakati na iwapo mmeamua kua nyuma ya wakati basi hapo katikati msioneshe dalili ya kua mnataka kwenda na wakati.
UJINGA MTUPU
Ratiba inatoka leoSeriously, hivi hawa tff wana matope kwenye vichwa vyao ama??
Ni dunia ya wapi ratiba ya ligi bado haijatoka wiki chache kabla ya ligi kuanza?? Au wanataka ligi ianze december?
Ratiba za EPL, BL zilishatoka tangu June, hawa wapumbavu huku bado wanasubiri nini?