Hivi kumbe tembo ni msumbufu

Hivi kumbe tembo ni msumbufu

Afisa Mteule Drj 2

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
3,865
Reaction score
4,506
Anasimamisha magari Kana kwamba ni trafiki anataka kulikagua gari ataingiza limkonga lake dirishani na kuanza kupapasapapasa humo kwenye gari chochote cha kula atakachokutana nacho ni halali yake atakipora,ataacha usumbufu wake atakapopenda yeye anaweza simamisha gari zaidi ya dakika 10 akilikagua na hata kulisukuma kutaka kulidondosha
Screenshot_20240409-210453_VidMate.jpg

Screenshot_20240409-210751_VidMate.jpg

Screenshot_20240409-211009_VidMate.jpg

Ona mambo yake
 
Ndio mkuu kama ulishapita maeneo yao hivyo hutashangaa..mnakuwa wapole afanye atakavyo akimaliza mnaendelea na safari yenu

Mkimvuruga mtajuta
 
Mtilieni dawa ya usingizi alewe fasta alale awaache mwendelee na Safari zenu
 
Anasimamisha magari Kana kwamba ni trafiki anataka kulikagua gari ataingiza limkonga lake dirishani na kuanza kupapasapapasa humo kwenye gari chochote cha kula atakachokutana nacho ni halali yake atakipora,ataacha usumbufu wake atakapopenda yeye anaweza simamisha gari zaidi ya dakika 10 akilikagua na hata kulisukuma kutaka kulidondosha
View attachment 2960252

View attachment 2960253
View attachment 2960254

Ona mambo yake
Huyo hutakiwi kumsogelea karibu ukiwa na gari, simama ukiwa mbali umpishe apite.
 
Back
Top Bottom