Hivi kumbe tembo ni msumbufu

Hivi kumbe tembo ni msumbufu

Kama hamjapita kwenye maeneo Yao au kujenga au kulima hutajuta kuhusu tembo

Ukiona hivyo ,ukaguzi lazima awakague ugeni
 
Kule ruaha mbuyuni majuzi wamakinukisha wamewqacha watu wanalia wametafuna mazao kweri kweri
 
Anasimamisha magari Kana kwamba ni trafiki anataka kulikagua gari ataingiza limkonga lake dirishani na kuanza kupapasapapasa humo kwenye gari chochote cha kula atakachokutana nacho ni halali yake atakipora,ataacha usumbufu wake atakapopenda yeye anaweza simamisha gari zaidi ya dakika 10 akilikagua na hata kulisukuma kutaka kulidondosha
View attachment 2960252

View attachment 2960253
View attachment 2960254

Ona mambo yake
dawa yake huyo ni ndogo sana, kwetu sisi tuliozaliwa vijijini, pilipili ya unga kama unayo, mrushie, akivuta tu kwenye pua yake ndefu humo, eneo hilo hatakuja kurudi tena maisha yake yote.
 
Hahaha na akili zinamrudi,halafu huwa wanasafiri umbali mrefu mno
 
Kule ruaha mbuyuni majuzi wamakinukisha wamewqacha watu wanalia wametafuna mazao kweri kweri
Sasa aingie shambani harafu akweme kwenye lite tope wananchi hupiga tembo fimbo zakutosha hasira yakuliwa mazao

Utacheka ,itunundu mle ,isele mule ,mlowa na kinyika na maeneo mengine husika
 
Mwe sijui hata kama linasikiaga maumivu ya fimbo
 
Back
Top Bottom