Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nipo mpenzi mzima wewe hizo radio mbao yawezekana za kweli haiwezekani mbaba kabisa alie mwe nenda kamuone mwaya anatia huruma sana baba wa watu (ila umeniuzi kwenye mafataki kule lol mi roho yaniuma nikiwaza mtu anifatakie mwanangu)
Shosti hujambo??? Upo? Mie mzima. Radio mbao zinasema karogwa kwa imani zao jamaa haongei dear yaani huruma saa hizi kanipigia anasema nikitoka ofisi nikamuone. NitakwendaAfu we Mbu wewe sitaki uchokozi wako tafadhali sana
"The best way to hide something from Black people is to put it in a book." Black people don't read!!!!!!!