harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Katoriki ndio kitu gani mkuuBora nchi wachukue waislam maana wana moyo wa uluma sisi wakatoriki cjui tunakwama wapi? Roho za kinaa,chuki ghiliba ata sielewi tuna tatzo gani yani kiongozi anapewa mamlaka anataka anao watawala walimie meno? Matajili waishi kama mashetani kweli? Hapana bwana nafkl twende na January makamba 2020 uzuri ametokea kagera kwa mama yake na ata gongo amewai kuuza pale kyaka japo baba yake ni mtu wa Tanga na mwislamu pure ila uyu anaweza kubalance nusu mwislamu nusu mkatoriki.
NdiyoLooo maajabu hayatakaa yaishe dunian, paulo?????
Samia Suluhu 2020-2025Ni vigumu kuamini sentensi kama hii maana uzi kama huu lazima uwe mchungu kwa
January Makamba
Mwigullu Nchemba
Bernard Membe
Hamiss Kigwangalla
Tundu Lissu
Paulo Makonda
kwakuwa hawa ndo wanatajwa tajwa sana na watuwatu wanaokubaliana nao,
Lakin mliwai kufikiria Tanzania kuongozwa
A.KIJESHI ?
Maana sioni kama kuna mtu anawaza suala ili kwa kina, kwasababu si kila nchi inayotawaliwa kujeshi walipenda hapana, ni kwamba waliopewa dhamana by a uongozi awali walivuruga mpaka kuingilia demokrasia, uchumi wakauyumbisha, vikwazo juu ya vikwazo ili likapelekea jeshi makini kufanya mapinduzi , je mmeweka akilini kwamba ili laweza tokea?
B.KUONGOZWA NA MWANAMKE?
Tanzania yenye chama chenye nguvu kimoja yaan CCM ,kinachezea demokrasia kitakavyo kulingana na mifumo ya kiutawala inayokibeba, na akipita mtu automatically ndo anakuwa rais,
Tumeona CCM ikianza mchezo wa chenga za gaucho kwenye kuteua wagombea mbali mbali,
Tuanze na spika wa bunge 2010,
Upitishwaji wa Magufuli 2015
Sasa usishangae kwa hali na mali wanaleta Mgombea Mwanamke, mbaya zaid ukakuta ni Tulia Akson, so lazima huyo ila imebidi niwaze hivyo
Britanicca
Ni vigumu kuamini sentensi kama hii maana uzi kama huu lazima uwe mchungu kwa

Tulia Ackson ni Mwislam?
-Julius Kambarage Nyerere
-Ali Hasan Mwinyi
-Benjamini William Mkapa
-Jakaya Mrisho Kikwete
-John Pombe Magufuli
-?
Wazo zuri sanawatanzania watakua viazi sana, sensa ya mwaka 2012 ilionesha kuwa 44% ya watu wote walikua chini ya miaka 15, kufikia 2025 demographic ya nchi itakua imebadilika sana, na upinzani ukiwekeza vyema kwenye vijana na kupanga mipango ya muda mrefu (na sio upuuzi wa kukodi wagombea CCM na kutumia nguvu nyingi kusaka urais badala ya kuongeza wabunge) watakao kua hai wanaweza kuing'oa CCM for good.
Mimi nimeishakuja, lakini sijaona hoja ya kujadili zaidi ya maneno ya kwenye khanga! Upoooo!!!!???Ngoja waje
Sometimes huwa naiita bongo taifa la wajinga ndio kama wewe hapa kweli kabisa huyo wa mwisho kabisa kabisa na akili zako timamu mpaka unapost huu upupuNi vigumu kuamini sentensi kama hii maana uzi kama huu lazima uwe mchungu kwa
January Makamba
Mwigullu Nchemba
Bernard Membe
Hamiss Kigwangalla
Tundu Lissu
Paulo Makonda
kwakuwa hawa ndo wanatajwa tajwa sana na watuwatu wanaokubaliana nao,
Lakin mliwai kufikiria Tanzania kuongozwa
A.KIJESHI ?
Maana sioni kama kuna mtu anawaza suala ili kwa kina, kwasababu si kila nchi inayotawaliwa kujeshi walipenda hapana, ni kwamba waliopewa dhamana by a uongozi awali walivuruga mpaka kuingilia demokrasia, uchumi wakauyumbisha, vikwazo juu ya vikwazo ili likapelekea jeshi makini kufanya mapinduzi , je mmeweka akilini kwamba ili laweza tokea?
B.KUONGOZWA NA MWANAMKE?
Tanzania yenye chama chenye nguvu kimoja yaan CCM ,kinachezea demokrasia kitakavyo kulingana na mifumo ya kiutawala inayokibeba, na akipita mtu automatically ndo anakuwa rais,
Tumeona CCM ikianza mchezo wa chenga za gaucho kwenye kuteua wagombea mbali mbali,
Tuanze na spika wa bunge 2010,
Upitishwaji wa Magufuli 2015
Sasa usishangae kwa hali na mali wanaleta Mgombea Mwanamke, mbaya zaid ukakuta ni Tulia Akson, so lazima huyo ila imebidi niwaze hivyo
Britanicca
Una undugu na kigogoWee vipi mkuu wakati mama samiha atakuwa Rais kabla 2020 kwa siku 90 nakuitisha uchaguzi kwa mujibu wa katiba
Kweli hadi huyu jamaa nae anatajwa!? Dah!Ni vigumu kuamini sentensi kama hii maana uzi kama huu lazima uwe mchungu kwa
January Makamba
Mwigullu Nchemba
Bernard Membe
Hamiss Kigwangalla
Tundu Lissu
Paulo Makonda
kwakuwa hawa ndo wanatajwa tajwa sana na watuwatu wanaokubaliana nao,
Lakin mliwai kufikiria Tanzania kuongozwa
A.KIJESHI ?
Maana sioni kama kuna mtu anawaza suala ili kwa kina, kwasababu si kila nchi inayotawaliwa kujeshi walipenda hapana, ni kwamba waliopewa dhamana by a uongozi awali walivuruga mpaka kuingilia demokrasia, uchumi wakauyumbisha, vikwazo juu ya vikwazo ili likapelekea jeshi makini kufanya mapinduzi , je mmeweka akilini kwamba ili laweza tokea?
B.KUONGOZWA NA MWANAMKE?
Tanzania yenye chama chenye nguvu kimoja yaan CCM ,kinachezea demokrasia kitakavyo kulingana na mifumo ya kiutawala inayokibeba, na akipita mtu automatically ndo anakuwa rais,
Tumeona CCM ikianza mchezo wa chenga za gaucho kwenye kuteua wagombea mbali mbali,
Tuanze na spika wa bunge 2010,
Upitishwaji wa Magufuli 2015
Sasa usishangae kwa hali na mali wanaleta Mgombea Mwanamke, mbaya zaid ukakuta ni Tulia Akson, so lazima huyo ila imebidi niwaze hivyo
Britanicca
Hapo umeandika kama unaota ndotoZipo jamii si wazuri sana Kwa kazi za kutumia akili ( reasoning) wanafaa sana kwenye za matumizi ya nguvu hata mkoloni alishafanya tafiti akawapa kazi za mashambani Na ukuli bandarini.Hizi za akili wanafail,tupate MTU auzikae kimataifa, mwenye exposure, jasusi wa kiuchumi, team leader mzuri,atakaeunganisha Makundi yote,mzalendo,mwenye uzoefu Na Madaraka sio ajifunzae ili asilewe na vitu vipitavo ( Madaraka).