Hivi Kumbe yawezekana wote wanaotajwa asiwepo hata mmoja kuwa Rais wa Tanzania 2025/2035

Hivi Kumbe yawezekana wote wanaotajwa asiwepo hata mmoja kuwa Rais wa Tanzania 2025/2035

Mkuu sijawahi kupuuzia nyuzi zako huwa naufukuaga nyuzi zako za zamani huwa nabaki mdomo wazi wakati mwingine huwa nahisi Mm tu naishi lipinyapinya huku peramiho wengine wote mnafanya kazi idara nyeti Sana maana kila mnachoongea mda ukifika huwa kweli

Mtarudi tena na uzi huu October 2020
Nam
 
Naam kaka
 
Ni vigumu kuamini sentensi kama hii maana uzi kama huu lazima uwe mchungu kwa
January Makamba
Mwigullu Nchemba
Bernard Membe
Hamiss Kigwangalla
Tundu Lissu
Paulo Makonda

Kwakuwa hawa ndio wanatajwa tajwa sana na watuwatu wanaokubaliana nao,

Lakin mliwai kufikiria Tanzania kuongozwa
A. KIJESHI ?
Maana sioni kama kuna mtu anawaza suala hili kwa kina, kwasababu si kila nchi inayotawaliwa kijeshi walipenda hapana, ni kwamba waliopewa dhamana by a uongozi awali walivuruga mpaka kuingilia demokrasia, uchumi wakauyumbisha, vikwazo juu ya vikwazo ili likapelekea jeshi makini kufanya mapinduzi, je mmeweka akilini kwamba ili laweza tokea?

B.KUONGOZWA NA MWANAMKE?
Tanzania yenye chama chenye nguvu kimoja yaani CCM, kinachezea demokrasia kitakavyo kulingana na mifumo ya kiutawala inayokibeba na akipita mtu automatically ndio anakuwa Rais,
Tumeona CCM ikianza mchezo wa chenga za gaucho kwenye kuteua wagombea mbali mbali,
Tuanze na spika wa bunge 2010,
Upitishwaji wa Magufuli 2015

Sasa usishangae kwa hali na mali wanaleta Mgombea Mwanamke, mbaya zaidi ukakuta ni Tulia Akson, so lazima huyo ila imebidi niwaze hivyo

Britanicca
Aiseeee naitamani plan A
 
Back
Top Bottom