Hivi Kumbe yawezekana wote wanaotajwa asiwepo hata mmoja kuwa Rais wa Tanzania 2025/2035

Mkuu britanica! Naona kalo mwilapwa kasema ajae ni wajina wa wasasa yaani jina lake litaanza na john!ni nani huyo?halafu kama ni Tulia akson nawaombeni mnifanyie mpango niwe namtuliza kipindi hicho!sidhani kama huyu mlimwende anafikaga kileleni!!sidhani!!
 
May be John Heche au vipi?
 
Hakika
 
B.KUONGOZWA NA MWANAMKE?

Sasa usishangae kwa hali na mali wanaleta Mgombea Mwanamke, mbaya zaidi ukakuta ni Tulia Akson, so lazima huyo ila imebidi niwaze hivyo

Britanicca
Duh...!. Mkuu britanicca , umetisha sana na hili jina!. Haya uliyasema June 2019!, wewe sio mtu wa kawaida!.

Mimi kwanza nilishauri Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! nikasema huyo Mwanamke wa 2025 sio lazima awe Samia!, hivyo anaweza kuwa Tulia!.

Ila pia nikaisikia hii sauti Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke, huyo Mwanamke kwenye unabii huu ni Tulia.
P
 
Labda akawe raisi wa chuo. Mnadhani hii inchi ni laboratory ya majaribio?!
 
Kumbe umeona heee
 
Yes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…