Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Au wanamsingizia?
Anajiedit mno
Anajiedit mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Airini unyoyaNdo nani
Mimi nilidhani ni vyuma pekee ndivyo husinyaa na kutanuka.
Ndo nani
Expectation and Reality are two different things!
huyo demu wa kawaida sana sema raia wanampaisha tu nae kujiona keki!!!
Rafiki wewe mbona una sura mbaya sana na hatusemi kitu!
Wanawake bhana..hawataki wenzao wapendeze
Uwoya hata ukikutana naye live,bado ni mzuri..
Niunganishe nao mkuu. Hahaa maana umewasifia vyema sanaKwa macho yako..
Nna dada zangu ukiwasimamisha nae anabaki nyuma
Niunganishe nao mkuu. Hahaa maana umewasifia vyema sana