Wakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?
Wakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?
Wee mleta Uzi jaribu kuwa muungwana unapoleta habari kwa kuepuka ukabila. Sasa jamaa yangu "mhaya" neno "mhaya" ungeliondoa lingeharibu maana ya ujumbe? Inaonekana unabifu nao na hivyo huu uzi hauna ukweli ni wa kutunga.Wakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?
Eti kachukua kamkopo Benki. Ndio anasifa ya kukopesheka na wewe nenda kakope dollar million moja ili uitwe millionia. Acha dharau! Mshamba wee!Wakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?
OK Mwadada Mwagona! uli wii kisafwa ni lugha nayoipenda kuiongea jamaa zangu wengi walikua wasafwa hapo Mbeya...Kujiita tu? Mie najiita papaa GeoMex tajiri mutoto
Ila utajiri wangu wa kiSafwa shuka,godoro na mbuzi watatu
Thread closed."A millionaire is an individual whose net worth or wealth is equal to or exceeds one million units of currency. It can also be a person who owns one million units of currency in a bank account or savings account. Depending on the currency, a certain level of prestige is associated with being a millionaire, which makes that amount of wealth a goal for some and almost unattainable for others." Source: https://en.wikipedia.org/wiki/Millionaire
10m zote hizo, m2 mbili tu wewe milionea, tatizo zinatosha nini? Hizo Tshs, zako.Wakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?
Hujui kitu wewe..eti milionaire awe na utajiri wa bilion moja utakuaje na Bilion 1 halafu bado tukuite milionea unachekesha kweli..milionea ni yule anayemiliki kuanzia milion 1 mpk milion 999..Bilionea ni yule anayemiliki kuanzia bilion mojaMillionaire awe na utajiri kuanzia Bilioni 1
Billionaire awe na utajiri kuanzia trilion 1.
Bongo mtu ana bilioni 10 wanamuita billionaire huyo ni millionaire.
Mo ni billionaire ameshafikia 1billion dollar
yupo sawa kabisa kwa hapo Bongo hata ukiwa na 2m wew ni milionea ila kimataifa not hadWakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?