Naachaje sasa kwa mfano.Nina neno muhimu waweza nitembelea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naachaje sasa kwa mfano.Nina neno muhimu waweza nitembelea?
Naachaje sasa kwa mfano.
Ni kweli si ana pesa za Tz milioni 10?Wakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?
Mkuu ni bora kujifanya hujui vitu ili ujifunze zaidi.Hujui kitu wewe..eti milionaire awe na utajiri wa bilion moja utakuaje na Bilion 1 halafu bado tukuite milionea unachekesha kweli..milionea ni yule anayemiliki kuanzia milion 1 mpk milion 999..Bilionea ni yule anayemiliki kuanzia bilion moja
Kwa hyo kwa mfano mtu anamiliki nyumba ya milioni 30 na hana madeni yoyote.Net worth = Asset - Liability
Sasa net worth ya huyo jamaa ni ngapi maana hela ni za mkopo
hata ile kuwa na 1M tayari umeclock na kuwa millionea!! haijalishi wheather ni 1 au 100Wakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?
Sure thing...... I cant do that bby but I still Love you like fat kids love cakes.Means you can't do that for me?
Alright then[emoji17]
Kwa hyo kwa mfano mtu anamiliki nyumba ya milioni 30 na hana madeni yoyote.
Lakini kwa siku anaingiza elfu 10 au elfu 5 tu ya kula akifanya mishe mishe zake.
Huyu naye tunaweza kumuita milionea?
Well , what can i say??Sure thing...... I cant do that bby but I still Love you like fat kids love cakes.
Ooohh, nilinogewa na mpira.Sijakuona lkn
Not bravery my dear.Well , what can i say??
Bravery at it's finest...! .
Sure that's a manhood.Not bravery my dear.
I think we should call it manhood. Right ?
Wakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?