Hivi kumiliki 10m mtu unaweza kujiita milionea kweli?

Hivi kumiliki 10m mtu unaweza kujiita milionea kweli?

Wakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?
Ni kweli si ana pesa za Tz milioni 10?
 
Try the photos
20190628_043658.jpeg
20190628_043616.jpeg
 
Hujui kitu wewe..eti milionaire awe na utajiri wa bilion moja utakuaje na Bilion 1 halafu bado tukuite milionea unachekesha kweli..milionea ni yule anayemiliki kuanzia milion 1 mpk milion 999..Bilionea ni yule anayemiliki kuanzia bilion moja
Mkuu ni bora kujifanya hujui vitu ili ujifunze zaidi.
 
KWANZA MKOPO NI LIABILITY SIYO ASSET PIA PESA TASLIMU MPAKA AWE NA ASSET AU BIASHARA YENYE THAMANI YA MIL10 CAPITAL INAYO EXIST BILA KUSHUKA NA IZO NI KWA PESA ZA MADAFU HAPA BONGO TU. KWA US DOLLAR BADO SANA MAANA HIYO NI USD5000$,
 
Net worth = Asset - Liability
Sasa net worth ya huyo jamaa ni ngapi maana hela ni za mkopo
Kwa hyo kwa mfano mtu anamiliki nyumba ya milioni 30 na hana madeni yoyote.
Lakini kwa siku anaingiza elfu 10 au elfu 5 tu ya kula akifanya mishe mishe zake.
Huyu naye tunaweza kumuita milionea?
 
Wakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?
hata ile kuwa na 1M tayari umeclock na kuwa millionea!! haijalishi wheather ni 1 au 100
 
Kwa hyo kwa mfano mtu anamiliki nyumba ya milioni 30 na hana madeni yoyote.
Lakini kwa siku anaingiza elfu 10 au elfu 5 tu ya kula akifanya mishe mishe zake.
Huyu naye tunaweza kumuita milionea?

Katika hoja yangu nilitaka kuonyesha effect ya deni lakini simaanishi milionea anaweza kuwa wa sh milion chache kihivyo. ila kama real estate tycoon menywe majumba kibao ya kufikisha thamani ya kiwango cha kuitwa millionaire, hata kama hana hard cash hizo nyumba tu zinamuwezesha kuitwa hivyo
 
Not bravery my dear.

I think we should call it manhood. Right ?
Sure that's a manhood.
But wait, we are not done yet. You might obey anything I want.
Don't ask me, where it says so..😂😂😂
 
Yeah... tena sio millionaire bali ni multi-millionaires wa kiwango cha dunia ya tatu lakini.uhususani Tanzania.
 
Mwambie ajiite kwa sauti kubwa .
Mazingira yanamruhusu.
 
Kila
Wakuu, Kuna jamaa angu mhaya kachukua kamkopo bank kama 10m Hivi, sasa naona ameanza kujiita milionea.
Hivi 10m inaweza mfanya mtu awe milionea kweli?

Ndio Kaamua kujiita ivyo Ni yeye na utajiri Ni vile Mtu unaamua Kujipima Mwenyewe. Ndio Maana anajiita Maana wewe umkubari .
 
Back
Top Bottom