Kumbe ni uzi wa wenye magari?
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Hata suzuki carry ipo humo humoTerios Kid au Cami hio bila shaka, ndio ina 650cc
Aza boy hiyo,enzi zetu ikiwa ya kiumeni..namkumbuka huyo blazaHahahah umenikumbusha mbali mkuu, hizo ndio zilikuwa pigo za watoto wa kiarabu watoto wa Mzee Sadiq, Balhabou enzi hizo kishule shule mwana anakuja na horse ya Scania anapark anaingia darasani hana habari.
Mwengine kapewa adhabu alime, anatoroka anaenda kuchukua tractor kwao...kuna watu wana kiburi ya hela mzee. Anaingiza tractor anakichafua mwalimu anabaki anatoa macho tu *****.
Hahah yani ilikuwa vituko tu *****, mwana kaja class kabeba madaftari mawili kwenye shangazi kaja.ππππππππ huku chini ana gum boots jua kalii.
Gari yangu ni 650cc tu ila ninavyowakwamisha humo bara barani sio poa... Wengi na ma Prado yao huwa wanakasirika sana jinsi navyowaovaertake!
Ni gari gani hiyo?Gari yangu ni 650cc tu ila ninavyowakwamisha humo bara barani sio poa... Wengi na ma Prado yao huwa wanakasirika sana jinsi navyowaovaertake!
Fanya kuchukua Hummer 2 ina option ya cc 6000 v8 au cc 6200 V8 ndo itapendeza zaidi kwa safari za mjini ila ukichukua hummer 3 yenyewe in cc 3500 5 clyinders haita turusha roho maana consumption yake ni kawaida tu,hahah.Natarajia kuagiza Hammer kwa mizunguruko ya hapa town!
Enzi hizo ubabe ubabe tu.msingi mfuko uwe umejaa basiiiHahahah umenikumbusha mbali mkuu, hizo ndio zilikuwa pigo za watoto wa kiarabu watoto wa Mzee Sadiq, Balhabou enzi hizo kishule shule mwana anakuja na horse ya Scania anapark anaingia darasani hana habari.
Mwengine kapewa adhabu alime, anatoroka anaenda kuchukua tractor kwao...kuna watu wana kiburi ya hela mzee. Anaingiza tractor anakichafua mwalimu anabaki anatoa macho tu *****.
Hahah yani ilikuwa vituko tu *****, mwana kaja class kabeba madaftari mawili kwenye shangazi kaja.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku chini ana gum boots jua kalii.
Watu wanazurura na Bentley we unashangaa prado?Toyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga? Sio matumizi mabaya ya pesa ?
πππππ eeh mkuuEnzi hizo ubabe ubabe tu.msingi mfuko uwe umejaa basiii
Toyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga? Sio matumizi mabaya ya pesa ?
Kwani pesa zako?Toyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga? Sio matumizi mabaya ya pesa ?
Tatizo linakuja unapoanza kumsimamia mtu baki matumizi ya fedha zake.Kama huna hela ya mawazo sioni tatizo lakini kumiliki gari kama lile huku huna safari za nje ya mji hayo ni matumizi mabaya ya fedha!..
sio kumsimamia ni kumshauri kuamua ni juu yake!..Tatizo linakuja unapoanza kumsimamia mtu baki matumizi ya fedha zake.