Hivi kumiliki gari ya safari ndefu Kama Toyota Prado kwa safari fupi za mjini ni akili au ujinga?

Hivi kumiliki gari ya safari ndefu Kama Toyota Prado kwa safari fupi za mjini ni akili au ujinga?

Kumbe ni uzi wa wenye magari?
πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ

Ndiyo baby
 
Mizunguko ya town unaweza kujikuta umezunguka km 300 hapa na Moro cha mwisho gari ni ulevi kila mtu anapenda atakacho
Wewe utakuwa umekula miguu ya kuku Sio bure kilomita 300 mmmmm
 
Kuendesha gari iliojuu kuna raha yake asikwambie mtu na ukizoea kuendesha gari iliojuu especially 4x4 utajikuta unachukia sana gari za chini kama unabisha zoea kuendesha i.e Land Cruiser Prado haijalishi model ipi halafu siku uje uendeshe i.e Premio, au Crown aisee utaona unavyopanda gari ni kama vile unadumbukia shimoni hutajiamini kwa kwenda njia wala sehemu yoyote ile lazima uwaze daah gari litapita kweli huku au huko
 
Hahahah umenikumbusha mbali mkuu, hizo ndio zilikuwa pigo za watoto wa kiarabu watoto wa Mzee Sadiq, Balhabou enzi hizo kishule shule mwana anakuja na horse ya Scania anapark anaingia darasani hana habari.

Mwengine kapewa adhabu alime, anatoroka anaenda kuchukua tractor kwao...kuna watu wana kiburi ya hela mzee. Anaingiza tractor anakichafua mwalimu anabaki anatoa macho tu *****.

Hahah yani ilikuwa vituko tu *****, mwana kaja class kabeba madaftari mawili kwenye shangazi kaja.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huku chini ana gum boots jua kalii.
Aza boy hiyo,enzi zetu ikiwa ya kiumeni..namkumbuka huyo blaza
 
Natarajia kuagiza Hammer kwa mizunguruko ya hapa town!
Fanya kuchukua Hummer 2 ina option ya cc 6000 v8 au cc 6200 V8 ndo itapendeza zaidi kwa safari za mjini ila ukichukua hummer 3 yenyewe in cc 3500 5 clyinders haita turusha roho maana consumption yake ni kawaida tu,hahah.
 
Hahahah umenikumbusha mbali mkuu, hizo ndio zilikuwa pigo za watoto wa kiarabu watoto wa Mzee Sadiq, Balhabou enzi hizo kishule shule mwana anakuja na horse ya Scania anapark anaingia darasani hana habari.

Mwengine kapewa adhabu alime, anatoroka anaenda kuchukua tractor kwao...kuna watu wana kiburi ya hela mzee. Anaingiza tractor anakichafua mwalimu anabaki anatoa macho tu *****.

Hahah yani ilikuwa vituko tu *****, mwana kaja class kabeba madaftari mawili kwenye shangazi kaja.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huku chini ana gum boots jua kalii.
Enzi hizo ubabe ubabe tu.msingi mfuko uwe umejaa basiii
 
Toyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga? Sio matumizi mabaya ya pesa ?
Watu wanazurura na Bentley we unashangaa prado?
 
Kwahyo unataka siku akipata safari ndefu ndio akanunue Prado?.....Ni wivu tuu

Back
Top Bottom