Yaani mtu atafute hela mwenyewe halafu kuna fala mmoja ampangie matumizi. Heheheh.Toyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga? Sio matumizi mabaya ya pesa ?
Kimbia kabisa kama huna gariKumbe ni uzi wa wenye magari?
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Kesho utatuambia wanaojenga magorofa hawana akili kwasababu wanalala chumba kimoja tu!
Gari yangu ni 650cc tu ila ninavyowakwamisha humo bara barani sio poa... Wengi na ma Prado yao huwa wanakasirika sana jinsi navyowaovaertake!
Ukiwa huna hela unaona wenye nazo wanazitumia vibayaToyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga? Sio matumizi mabaya ya pesa ?
Toyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga? Sio matumizi mabaya ya pesa ?
Roho ya kimaskini inamtesa mleta mada!Toyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga? Sio matumizi mabaya ya pesa ?
Rush yako ni nyeusi! Jirani siyo vizuri kunisema mbele za watu.ni ujuha, nina jiran yangu analo huwa analiwasha jumapil tu akiwa anaenda kanisani, weekdays ana ki-makonda chake anabanana na mkewe mwanzo mwisho...mimi nna rush yangu saaafi full burudan
ni ujuha, nina jiran yangu analo huwa analiwasha jumapil tu akiwa anaenda kanisani, weekdays ana ki-makonda chake anabanana na mkewe mwanzo mwisho...mimi nna rush yangu saaafi full burudan
Hahahah umenikumbusha mbali mkuu, hizo ndio zilikuwa pigo za watoto wa kiarabu watoto wa Mzee Sadiq, Balhabou enzi hizo kishule shule mwana anakuja na horse ya Scania anapark anaingia darasani hana habari.
Mwengine kapewa adhabu alime, anatoroka anaenda kuchukua tractor kwao...kuna watu wana kiburi ya hela mzee. Anaingiza tractor anakichafua mwalimu anabaki anatoa macho tu *****.
Hahah yani ilikuwa vituko tu *****, mwana kaja class kabeba madaftari mawili kwenye shangazi kaja.ππππππππ huku chini ana gum boots jua kalii.
ππmwalimu anamfata dogo akamsaidie kulima bustani yake dadeki,
Haya makaratasi yenye picha ya nyerere haya
[emoji23][emoji23][emoji23] Gari za kubebea Makreti ya Bia na mizigo Store na magodwnUnakuta mtu ana Nissan navara anaendea kazini
"Ukiwa huna hela kila anayetumia hela zake unaona anatumia vibaya"Toyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga? Sio matumizi mabaya ya pesa ?
ni ujuha, nina jiran yangu analo huwa analiwasha jumapil tu akiwa anaenda kanisani, weekdays ana ki-makonda chake anabanana na mkewe mwanzo mwisho...mimi nna rush yangu saaafi full burudan
Kesho utatuambia wanaojenga magorofa hawana akili kwasababu wanalala chumba kimoja tu!