Hivi kumiliki gari ya safari ndefu Kama Toyota Prado kwa safari fupi za mjini ni akili au ujinga?

Toyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga? Sio matumizi mabaya ya pesa ?
Yaani mtu atafute hela mwenyewe halafu kuna fala mmoja ampangie matumizi. Heheheh.
 
Hivi vitu vinaenda na passion ya mtu, magari nayo ni kama ulevi wakati mwingine, na ndiomana kuna matajiri wananunua kila toleo la gari lakini yanakuwa garage yake tu hata kuendesha haendeshi. Siwezi nikawa na 1bil kwenye account halafu nishindwe kumiliki land cruiser ya 300 mil eti kisa sina safari ndefu
 
Kumbe ni uzi wa wenye magari?
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Kimbia kabisa kama huna gari
 
Toyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga? Sio matumizi mabaya ya pesa ?
Ukiwa huna hela unaona wenye nazo wanazitumia vibaya
 
Toyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga? Sio matumizi mabaya ya pesa ?

matumizi mabaya ya pesa na huku anaemiliki anaweza kuafford??? 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Toyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga? Sio matumizi mabaya ya pesa ?
Roho ya kimaskini inamtesa mleta mada!
 
wadau hv hichi kifaa kinapatkana wapi hapa town
images%20(2).jpeg
 
Ni akili
Ila watu ambao hamna pesa za kutosha kama wewe ndio mnajikuta mnahuruma sana na sisi tunaomiliki Toyota Prado.
 
ni ujuha, nina jiran yangu analo huwa analiwasha jumapil tu akiwa anaenda kanisani, weekdays ana ki-makonda chake anabanana na mkewe mwanzo mwisho...mimi nna rush yangu saaafi full burudan
Rush yako ni nyeusi! Jirani siyo vizuri kunisema mbele za watu.
 
Ahaaa... Kumbe wewe ni jirani yangu? Ni yule mwenye nyumba ya vigae rangi ya damu ya mzee?
ni ujuha, nina jiran yangu analo huwa analiwasha jumapil tu akiwa anaenda kanisani, weekdays ana ki-makonda chake anabanana na mkewe mwanzo mwisho...mimi nna rush yangu saaafi full burudan
 
Hahahah umenikumbusha mbali mkuu, hizo ndio zilikuwa pigo za watoto wa kiarabu watoto wa Mzee Sadiq, Balhabou enzi hizo kishule shule mwana anakuja na horse ya Scania anapark anaingia darasani hana habari.

Mwengine kapewa adhabu alime, anatoroka anaenda kuchukua tractor kwao...kuna watu wana kiburi ya hela mzee. Anaingiza tractor anakichafua mwalimu anabaki anatoa macho tu *****.

Hahah yani ilikuwa vituko tu *****, mwana kaja class kabeba madaftari mawili kwenye shangazi kaja.😂😂😂😂😂😂😂😂 huku chini ana gum boots jua kalii.

😂😂mwalimu anamfata dogo akamsaidie kulima bustani yake dadeki,
Haya makaratasi yenye picha ya nyerere haya
 
aliyekuambia prado nimahususi kwa safari ndefu nani?
 
Toyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga? Sio matumizi mabaya ya pesa ?
"Ukiwa huna hela kila anayetumia hela zake unaona anatumia vibaya"
 
Umasikini mbaya sana...

Back
Top Bottom