Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
injinia mwenye passo [emoji2]tunahitaji uzoefu wako katika hiliNi wivu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
injinia mwenye passo [emoji2]tunahitaji uzoefu wako katika hiliNi wivu tu
Kwani kakuomba ushauri?sio kumsimamia ni kumshauri kuamua ni juu yake!..
Ushauri si lazima uombwe!...Kwani kakuomba ushauri?
Usipoombwa ni kimbelembele.Ushauri si lazima uombwe!...
Kimbelembele ni kumpangia matumizi hela yake si kumshauri matumizi bora ya hela yake!.Usipoombwa ni kimbelembele.
Unayemshauri akikuuliza "kwani nilikuomba ushauri?" unazodoka.
Si kila unayefikiri hajui unayotaka kumshauri hajui, wengine wanajua, ila hawajali.
Ulitaka aendee wapi?Unakuta mtu ana Nissan navara anaendea kazini
Sidhani kama wanakasirika. Ila hawana mambo ya kushindana.Gari yangu ni 650cc tu ila ninavyowakwamisha humo bara barani sio poa... Wengi na ma Prado yao huwa wanakasirika sana jinsi navyowaovaertake!
Kwanini usimshauri baba ako aondokane na umasikini?Ushauri si lazima uombwe!...
[emoji16][emoji16]Ngoja niendelee kuwasoma watetezi wa wanyonge, Hii ni Tanzania ya wanyonge.
NakaziaKuendesha gari iliojuu kuna raha yake asikwambie mtu na ukizoea kuendesha gari iliojuu especially 4x4 utajikuta unachukia sana gari za chini kama unabisha zoea kuendesha i.e Land Cruiser Prado haijalishi model ipi halafu siku uje uendeshe i.e Premio, au Crown aisee utaona unavyopanda gari ni kama vile unadumbukia shimoni hutajiamini kwa kwenda njia wala sehemu yoyote ile lazima uwaze daah gari litapita kweli huku au huko
Shangaa na weweTatizo linakuja unapoanza kumsimamia mtu baki matumizi ya fedha zake.
[emoji16][emoji16][emoji16]Usipoombwa ni kimbelembele.
Unayemshauri akikuuliza "kwani nilikuomba ushauri?" unazodoka.
Si kila unayefikiri hajui unayotaka kumshauri hajui, wengine wanajua, ila hawajali.
Mbona Lumumba hapo mnamiviet kibao.acha unafiki we kibwenguToyota Prado ni gari mahususi ambayo imetengenezwa kwa ajili ya safari ndefu Sio mizinguko mifupi fupi ya mjini.Hivi mtu kumiliki Hilo dude kwa safari za mizunguko ya mjini Ni akili au ujinga? Sio matumizi mabaya ya pesa ?
Ngoja nimsubiri atoke chumbani kwa mamako basi!..Kwanini usimshauri baba ako aondokane na umasikini?