Umeonaeee!! Japo ukaribu ni ukaribu tu rafiki na huwa hamnaga ukaribu wa mbali. πππππ huwezi amini tu rafiki.. sema ukaribu sana mnajikuta mnakaribisha ibirisi
kama hii jioni mnatoka mnaenda hata sehemu mnapata kahawa hivi, chakula cha jioni flani hivi then mnarudishana makwenu.. πππ. ila najua wewe rafiki huwezi jaribu hiiiUmeonaeee!! Japo ukaribu ni ukaribu tu rafiki na huwa hamnaga ukaribu wa mbali. π
That's My Dada...[emoji8]Mi sioni haja kwa kweli na kama ni hizo salamu salimia ndugu au hata wapangaji wenzio huko inatosha sababu kukaribisha vimeseji meseji mwisho wa siku uzalendo ukikushinda utaomba mkumbushie.
Bora dada wa watu kajiwahi kwamba hataki kurudiana nawe. [emoji3]
Hahahaaa. Hizo mambo ni kujipotezea muda rafiki.kama hii jioni mnatoka mnaenda hata sehemu mnapata kahawa hivi, chakula cha jioni flani hivi then mnarudishana makwenu.. πππ. ila najua wewe rafiki huwezi jaribu hiii
Shangaa na Wewe[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Wanadai (ETI) kama mliachana kwa amani bila ugomvi hakuna haja ya kutowasiliana. Sasa najiuliza kama kulikua na amani bila magomvi, kwanini mliachana???!!! [emoji2368] [emoji2368]
Sio kupotezeana mda rafiki, hapa penyewe namtoke wa ex jioni, tunaenda zetu movie πππ.. tukitoka ananirudisha home, nae anaenda kwake.. ππHahahaaa. Hizo mambo ni kujipotezea muda jirani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia..Makiwendo nakuona aseee.. [emoji16][emoji16]
ππππ ukweli mie huniambii kitu kwa ma ex wangu, hata huyu aliepo anajua maana bila wao nae leo hii asingenikuta hapa nilipo.. kutunza legacy ya ma ex lazima.. ndani ukutani unaweka na picha zao za ukumbusho.. sema watu wakiachana inakuwa kama vita, wakati mahusiano mengine yanakuja ili tujifunze tu.. vipi huna EX ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia..
Nasoma namna unaendeleza Mawasiliano na Ma EX wako[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulia..
Nasoma namna unaendeleza Mawasiliano na Ma EX wako[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaa.. ujue mnaweza mkawa ma ex alafu wote mpo single bado? kuna kuwa na ubaya gani kuwasiliana na kutembeleanaπππThat's My Dada...[emoji8]
Binafsi huwa sioni sababu ya kuendelelea kuwasiliana..Maana mwisho wa siku ni kukaribisha vitu visivyokiwepo..
Yeye yupo kwenye Mahusiano yake mengine awasilianae na mtu wake kwa Amani na mimi hivyo hivyo...
He's not My Friend, He is not my Enemy ila Mipaka iwepo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii sasa ndo point ya wewe kuwa na ukaribu na hao maex wako rafiki.Haaa.. ujue mnaweza mkawa ma ex alafu wote mpo single bado? kuna kuwa na ubaya gani kuwasiliana na kutembeleanaπππ
Eti una EX[emoji23]Niache...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ukweli mie huniambii kitu kwa ma ex wangu, hata huyu aliepo anajua maana bila wao nae leo hii asingenikuta hapa nilipo.. kutunza legacy ya ma ex lazima.. ndani ukutani unaweka na picha zao za ukumbusho.. sema watu wakiachana inakuwa kama vita, wakati mahusiano mengine yanakuja ili tujifunze tu.. vipi huna EX [emoji23][emoji23]
Mahusiano yapo mengi yanayo isha kwa amanani. unakuta kuna issue za kiimani etc.. ila kuachana kwa hivi huwa kuna uma sana..π€£π€£
Wanadai (ETI) kama mliachana kwa amani bila ugomvi hakuna haja ya kutowasiliana. Sasa najiuliza kama kulikua na amani bila magomvi, kwanini mliachana???!!! π€·ββοΈ π€·ββοΈ
Hilo huwa sifanyi..Haaa.. ujue mnaweza mkawa ma ex alafu wote mpo single bado? kuna kuwa na ubaya gani kuwasiliana na kutembeleana[emoji849][emoji849][emoji849]
πππ Kinacho fanya kusiwe na shida ni uwazi mie kila kitu ni muwazi 100%.. ana amani kabisa na mie, hata hii jioni anajua natoka na anajua naenda kukutana na mtu ambae alikuwa ni Ex wangu ili tusije gumiana kikawaka.. taarifa muhimu na kusiwe na janja kama unakuwa karibu na ma ex wako japo yeye ana waogopa ila ana niamini sifanyi kitu zaidi ya story na maongezi.. ma ex wangu kwao nimekuwa kama familiaEti una EX[emoji23]Niache...
Kwamba unaweka hadi picha zao ukutani? HM..huyo Mwanamke uliyenaye humtendei haki.. Niamini..Ukishaamua kuwa na mtu jaribu kuthamini sana hisia zake.. unadhani anajisikiaje?
Huyo siku akichoka Vihoja vyako hakuna utakachomwambia akakuelewa...
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ Rafiki inawezekana, ningekuwa raisi ningekupa teuzi alafu msaidizi wako awe ex wako.. ndio ungejua inawezekana kabisa mkawa karibu na hakuna kitu kibaya mnafanya kikubwa ni kuheshima miili na hisiaHii sasa ndo point ya wewe kuwa na ukaribu na hao maex wako rafiki.
Nje ya hapo ngumu sana hiyo kitu.
Aseee.. wewe mkali sana asee.. ujue unaweza. kuta mtu mmeingia kwenye mahusiano ili mfundishane mambo flani tu na yakawa na faida kwenu wote, baada ya hapo mkiachana bado mnaweza mkawa part ya ile faidaHilo huwa sifanyi..
Yeye awe single tu.. siyo shida zangu[emoji2]kwangu mimi..Once its done its done.. No turning back Mzee...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Principle yako najaribu kuielewa lakini formula inakataa[emoji2][emoji849][emoji849][emoji849] Kinacho fanya kusiwe na shida ni uwazi mie kila kitu ni muwazi 100%.. ana amani kabisa na mie, hata hii jioni anajua natoka na anajua naenda kukutana na mtu ambae alikuwa ni Ex wangu ili tusije gumiana kikawaka.. taarifa muhimu na kusiwe na janja kama unakuwa karibu na ma ex wako japo yeye ana waogopa ila ana niamini sifanyi kitu zaidi ya story na maongezi.. ma ex wangu kwao nimekuwa kama familia
Hapana, ukiona kuna dharau block hapo hapo. Cha kwanza ni heshima, adabu na nidhamu. Ukiona hivyo havipo basi haifai huyo ex awe karibu yako. Mnaweza haribu mnacho jenga.. mie niseme wazi hakuna EX wangu ambae hatupo nae karibu wote tupo nao close kishenzi na huwa nawakumbusha hata promise zangu na zingine huwa nazifanya ila pia nina heshima sana kwao nao pia wana heshima sana kwangu.. hatujawai kulana zaidi ya hug tu tukiwa out πππHii Principle yako najaribu kuielewa lakini formula inakataa[emoji2]
Hivi unajua Mazoea na EX yanaweza kusababisha hata Mtu wako akadharaulika...Anaonekana hana jipya anachokupa ndiyo maana hukauki kuwatafuta...
Aisee...Siwezi kum'desrespect My Man kwa upuuzi wa kuwasiliana na kiumbe anayeitwa EX..
Sent using Jamii Forums mobile app