Hivi kumpigia simu Ex wako ni kosa?

Hivi kumpigia simu Ex wako ni kosa?

Mimi: Mambo vipi Rose?

Rose: Salama! naona leo umenikumbuka?

Mimi: Yes, upo salama?

Rose: Mhhh, baada ya muda wote huo kunikaushia leo upo na nyege zako ndo unanitafuta?, Now naendelea vyema na maisha yangu na sitaki kurudiana na wewe.

Mimi: Rose sikia, mimi sijahitaji kurudiana na wewe nimekutafuta kukujulia hali kwani sina uadui na wewe na leo nimekumbuka those memories we had those time.

Rose: Sawa bhana, Rose alikata simu yake na block nikapata.

Waungwana hivi kuna tatizo kumjulia hali Ex-wako?

Mimi mars ft Mwana FA.....skiliza songi hilo mkuu litakufaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hufai wewe...
Ngoja tusubiri hiyo baadaye Makutano na EX wake HM..

Sent using Jamii Forums mobile app
Utamuona mdada mmoja mweupe flani umbo namba nane, sura ya kitoto nywele ya asili ndefu hivi, jicho mashalaah yupo na ka kijana kadogo dogo hivi kana upaaa kamevaa tishrt kaki na suruali kaki na kiatu kaki ☺️☺️☺️☺️ ujue ndio mtu na ex wake hao wanaingia
 
Utamuona mdada mmoja mweupe flani umbo namba nane, sura ya kitoto nywele ya asili ndefu hivi, jicho mashalaah yupo na ka kijana kadogo dogo hivi kana upaaa kamevaa tishrt kaki na suruali kaki na kiatu kaki [emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526] ujue ndio mtu na ex wake hao wanaingia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Principle yako najaribu kuielewa lakini formula inakataa[emoji2]
Hivi unajua Mazoea na EX yanaweza kusababisha hata Mtu wako akadharaulika...Anaonekana hana jipya anachokupa ndiyo maana hukauki kuwatafuta...
Aisee...Siwezi kum'desrespect My Man kwa upuuzi wa kuwasiliana na kiumbe anayeitwa EX..

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia mdogo wangu.
 
Kuna wale mademu hasa wale wakali wanao amini wao hawachwi bali wanaacha. Nilikuwa na demu alikuwa vizuri bonge la shepu 2017 mwishoni alinipiga chini kwa kejeli kibao akarudiana na ex wake. Nikasema poa tu.

Baada miezi minne anaomba turudiane, yaani tokea 2018 mpaka sasa anataka turudiane,ananiambia anataka anizalie kishawatumia rafiki zangu mpaka sister wangu ,2019 akanipigia simu na mkwala kwamba kuna siku atakuja kufanya fujo ghetto nika mwambia aje halafu ndipo atanijua vizuri,yaani mpaka sasa anataka turudiane,ila ndio hivyo sina time nae.
 
mmh! kwenye miti hapana wahandisi
 
Back
Top Bottom