Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Grano kama unatokea sana, basi tumeishaona onana sanaaaaa sema hatujuani, naamini hata nikikupa code unaweza pata picha πππDah!!![emoji847][emoji847][emoji847]
Itabidi nitafute muda wakati fulani nishuhudie hiki unachosema hapa HM..
NB..Natumia Milkshake za Grano Coffee....Ahsante[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ukikumbuka lazima umpigie, "nyege tu hizo" namnukuu Rose!!!leo nimekumbuka those memories we had those time.
ππππ Eeh! Mungu akijali mwakani mwakani majira kama hayo HM nakuwa namilikiwa na pisi 100%.. ikiniambia maruku kutoka hakuna kutokaKwamba Unamuoa Mwakani[emoji23][emoji23][emoji23]
Na save hii comment.. Mungu atupe uzima[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana...Hebu nipe Code[emoji12]Grano kama unatokea sana, basi tumeishaona onana sanaaaaa sema hatujuani, naamini hata nikikupa code unaweza pata picha [emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe huyo???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Eeh! Mungu akijali mwakani mwakani majira kama hayo HM nakuwa namilikiwa na pisi 100%.. ikiniambia maruku kutoka hakuna kutoka
ππππ angalia wakandarasi wanao randa randa grano, marrybrown, swad, mangos wapo kila mahala mlimani city ππππ..
πππ Makiwendo mambo yanabadirikaWewe huyo???[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba marufuku kutoka? Wacha tuone[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] angalia wakandarasi wanao randa randa grano, marrybrown, swad, mangos wapo kila mahala mlimani city [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]..
Wacha tuone...Muda ni rafiki mzuri[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] Makiwendo mambo yanabadirika
hapana sio hao, sie jioni ndio mda wa kuja reflesh hapo kuona maua mazuri mazuri, kupiga story kupeana deal ningekuambia ungeelewa moja kwa moja ila acha nikaushe nisiuze mechi ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wale wanajenga vile vipande vipande vya kule nje?[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema nae pia anaweza akawa ex pia πππ maana maisha hana mwendo sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana sio hao, sie jioni ndio mda wa kuja reflesh hapo kuona maua mazuri mazuri, kupiga story kupeana deal ningekuambia ungeelewa moja kwa moja ila acha nikaushe nisiuze mechi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah[emoji114]Sema nae pia anaweza akawa ex pia [emoji16][emoji16][emoji16] maana maisha hana mwendo sana
Aysee mwamba mbona unanitishaa?ila hapanaa...anaumwa mafua ya Dar hawez kuja leo..hahahaπππ ila kwangu ni ex tu, haina shida wala hatulani.. mcheki ratiba yake ya leo jioni kama ipo tight basi ujue tutakuwa tunadekeana
ππππ.. Siku hizi boss wa grano katufitini zamani alituwekea pisi kali tu, hupati hata nguvu ya kuipa memo, badala yake una deal nayo mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niambie Bwana.....Au ndiyo wewe before Christmas niliona unapenyeza Ki Memo Mhudumu akakipeleka kwa yule Mrembo?[emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jihakikishie mkuu, maana nae ana mafua ya Dar πππ anakuja pata chai dawaAysee mwamba mbona unanitishaa?ila hapanaa...anaumwa mafua ya Dar hawez kuja leo..hahaha
Kwan kukumbushiana kuna shida gani?ni bora shetan unajua kulikon malaika ambaye humjuiMi sioni haja kwa kweli na kama ni hizo salamu salimia ndugu au hata wapangaji wenzio huko inatosha sababu kukaribisha vimeseji meseji mwisho wa siku uzalendo ukikushinda utaomba mkumbushie.
Bora dada wa watu kajiwahi kwamba hataki kurudiana nawe. π
Nasubiri Code..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. Siku hizi boss wa grano katufitini zamani alituwekea pisi kali tu, hupati hata nguvu ya kuipa memo, badala yake una deal nayo mwenyewe
Aah!weeee ngumu hyoo mkuu..niamini... Si yeye..ungekuwa Chuga ngepata wasiwasi kidogo.hahhaJihakikishie mkuu, maana nae ana mafua ya Dar πππ anakuja pata chai dawa