Hivi kumpigia simu Ex wako ni kosa?


Mimi mars ft Mwana FA.....skiliza songi hilo mkuu litakufaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hufai wewe...
Ngoja tusubiri hiyo baadaye Makutano na EX wake HM..

Sent using Jamii Forums mobile app
Utamuona mdada mmoja mweupe flani umbo namba nane, sura ya kitoto nywele ya asili ndefu hivi, jicho mashalaah yupo na ka kijana kadogo dogo hivi kana upaaa kamevaa tishrt kaki na suruali kaki na kiatu kaki ☺️☺️☺️☺️ ujue ndio mtu na ex wake hao wanaingia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakazia mdogo wangu.
 
Kuna wale mademu hasa wale wakali wanao amini wao hawachwi bali wanaacha. Nilikuwa na demu alikuwa vizuri bonge la shepu 2017 mwishoni alinipiga chini kwa kejeli kibao akarudiana na ex wake. Nikasema poa tu.

Baada miezi minne anaomba turudiane, yaani tokea 2018 mpaka sasa anataka turudiane,ananiambia anataka anizalie kishawatumia rafiki zangu mpaka sister wangu ,2019 akanipigia simu na mkwala kwamba kuna siku atakuja kufanya fujo ghetto nika mwambia aje halafu ndipo atanijua vizuri,yaani mpaka sasa anataka turudiane,ila ndio hivyo sina time nae.
 
mmh! kwenye miti hapana wahandisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…