Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 881
- 2,077
Usiku wa leo kwenye kipindi cha Sports Extra ya Clouds FM mwenyekiti wa Simba upande wa wanachama alikua anhojiwa mambo mbalimbali kuhusu mwenendo wa klabu ya Simba na kile kinachoendelea sasa hivi ndani ya klabu hiyo.
Watangazji Biko Scanda, Shaffih Dauda na Alex Lwambano walikua wanaongoza mahojiano hayo. Nasikitika sijaelewa hasa kilikua kinazungumziwa nini maana interview haikua na mpangilio wa kueleweka mbaya zaidi hata Mangungu mwenyewe alikua anajibu kama vile kapewa script ya movie.
Nimegundua kua Shaffih ni mnafiki sana, kwenye page yake anaongea vitu tofauti lakini muhusika yuko nae studio anaogopa kumuhoji. Kwakifupi ni moja ya interview za hovyo kuwahi kutokea.
Interview haijajibu maswali mengi magumu na kiu ya mashabiki na wachama wa Simba na wadau wa mpira wa miguu hapa nchini kwa ujumla. Kuna aliemwelewa Mangungu leo?! Tutiririke hapo chini. Naomba kuwasilisha