Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio waandishi wetu wa kibongowale wote awana elimu, poor professionalism, clouds media yote. vichwa ni maji.
You and you.😀😃😄😁You and who?
Mna pesa ya kuendesha timu au mnataka kurudi kule kwenye kuchangisha pesa kwa ajili ya kuwanunulia wachezaji chapati? Timu hazina vyanzo vya uhakika vya fedha, muacheni Mo.Mangungu Wanasimba wote tuko nyuma yako, Glezabhai msanii atuachie timu
Ukiona mshabiki anasema yupo na mangungu jua huyo Ni yanga,hawamtaki mo arudi Kama mwenyekiti wa bodyMna pesa ya kuendesha timu au mnataka kurudi kule kwenye kuchangisha pesa kwa ajili ya kuwanunulia wachezaji chapati? Timu hazina vyanzo vya uhakika vya fedha, muacheni Mo.
Wewe ulisoma wapi unaandika Awana limu,awaulizi nk.Hiyo ni lugha gani?watangazaji wa clouds media wale elimu amna, vichwa empty unategemea mtu aende clouds atoe majibu.
kuna vibe tu clouds ila presenters elimu awana ni watu wa mtaani wamepewa mic 😂😂
mimi leo nimeangaliwa it's shameful. vichwa maji, mambo ya msingi awaulizi. ni umbea. kama awaja jiandaa na kipindi. no research. no nothing,
clouds media ni ya watu mbumbumbu aisee
Aujamuelewa,mimi pia sijakuelewaSema tu ulitaka kusikia akimuongelea vibaya Mo na kukoleza mgogoro, hata shaffih alitegemea hivyo, ndo maana unasema aujamuelewa,
Simba Ipo Imara
Vipi alipowaletea Caesar Manzoki siku ile ya uchaguzi ili kuwasalimia wanachama!! Jakika mlifurahi kweli kweli! Na kura zote mkaamua kumpa yeye! 😁Hata kuongea tuu kama kiongozi hajui akiwa anaongea unaweza kudhani ni mzee wa kwenye vijiwe vya kahawa kazee kamejaa majibu ya jeuri na kiburi sana shenzi zake, kuna siku hata vikosi vya uokoaji vitashindwa kumchomoa mikononi mwa raia
Shaffi Dauda kuna kipindi nilikuwa namwona pale Twiga Bank (Bank iliyovunjwa), sijui siku hizi yuko wapi. Mwenye uelewa wa fani aliyosomea Shaffi Dauda atujulishe tafadhali. Halafu ndio tuendelee na mjadala.watangazaji wa clouds media wale elimu amna, vichwa empty unategemea mtu aende clouds atoe majibu.
kuna vibe tu clouds ila presenters elimu awana ni watu wa mtaani wamepewa mic 😂😂
mimi leo nimeangaliwa it's shameful. vichwa maji, mambo ya msingi awaulizi. ni umbea. kama awaja jiandaa na kipindi. no research. no nothing,
clouds media ni ya watu mbumbumbu aisee
Hakuna chochote unachokijua kuhusiana na hilo 🚮🚮Vipi alipowaletea Caesar Manzoki siku ile ya uchaguzi ili kuwasalimia wanachama!! Jakika mlifurahi kweli kweli! Na kura zote mkaamua kumpa yeye! 😁
Usiku wa leo kwenye kipindi cha Sports Extra ya Clouds FM mwenyekiti wa Simba upande wa wanachama alikua anhojiwa mambo mbalimbali kuhusu mwenendo wa klabu ya Simba na kile kinachoendelea sasa hivi ndani ya klabu hiyo.
Watangazji Biko Scanda, Shaffih Dauda na Alex Lwambano walikua wanaongoza mahojiano hayo. Nasikitika sijaelewa hasa kilikua kinazungumziwa nini maana interview haikua na mpangilio wa kueleweka mbaya zaidi hata Mangungu mwenyewe alikua anajibu kama vile kapewa script ya movie.
Nimegundua kua Shaffih ni mnafiki sana, kwenye page yake anaongea vitu tofauti lakini muhusika yuko nae studio anaogopa kumuhoji. Kwakifupi ni moja ya interview za hovyo kuwahi kutokea.
Interview haijajibu maswali mengi magumu na kiu ya mashabiki na wachama wa Simba na wadau wa mpira wa miguu hapa nchini kwa ujumla. Kuna aliemwelewa Mangungu leo?! Tutiririke hapo chini. Naomba kuwasilishaT
Shida yake anapenda kujjtetea kwa nguvu kubwa ... Anaulizwa hiki yeye badala yakujibu anabishana, na hiyo ndiyo style yake .
Hajui kama anajiaibisha .
Kwanza alitakiwa atueleze Manzoki yuko wapi halafu ndipo aje na hizo porojo zake. Mangungo ni tapeli.Usiku wa leo kwenye kipindi cha Sports Extra ya Clouds FM mwenyekiti wa Simba upande wa wanachama alikua anhojiwa mambo mbalimbali kuhusu mwenendo wa klabu ya Simba na kile kinachoendelea sasa hivi ndani ya klabu hiyo.
Watangazji Biko Scanda, Shaffih Dauda na Alex Lwambano walikua wanaongoza mahojiano hayo. Nasikitika sijaelewa hasa kilikua kinazungumziwa nini maana interview haikua na mpangilio wa kueleweka mbaya zaidi hata Mangungu mwenyewe alikua anajibu kama vile kapewa script ya movie.
Nimegundua kua Shaffih ni mnafiki sana, kwenye page yake anaongea vitu tofauti lakini muhusika yuko nae studio anaogopa kumuhoji. Kwakifupi ni moja ya interview za hovyo kuwahi kutokea.
Interview haijajibu maswali mengi magumu na kiu ya mashabiki na wachama wa Simba na wadau wa mpira wa miguu hapa nchini kwa ujumla. Kuna aliemwelewa Mangungu leo?! Tutiririke hapo chini. Naomba kuwasilisha