Hivi kuna aliemwelewa Mangungu kwenye interview yake leo pale Sports Extra ya Clouds FM?

Mangungu Wanasimba wote tuko nyuma yako, Glezabhai msanii atuachie timu
 
Mangungu Wanasimba wote tuko nyuma yako, Glezabhai msanii atuachie timu
Mna pesa ya kuendesha timu au mnataka kurudi kule kwenye kuchangisha pesa kwa ajili ya kuwanunulia wachezaji chapati? Timu hazina vyanzo vya uhakika vya fedha, muacheni Mo.
 
Mna pesa ya kuendesha timu au mnataka kurudi kule kwenye kuchangisha pesa kwa ajili ya kuwanunulia wachezaji chapati? Timu hazina vyanzo vya uhakika vya fedha, muacheni Mo.
Ukiona mshabiki anasema yupo na mangungu jua huyo Ni yanga,hawamtaki mo arudi Kama mwenyekiti wa body
 
Sema tu ulitaka kusikia akimuongelea vibaya Mo na kukoleza mgogoro, hata shaffih alitegemea hivyo, ndo maana unasema aujamuelewa,

Simba Ipo Imara
 
Nilimsikiliza kiukweli nimebaki kushangaa. Hivi mtu wa vile anaweza vp kuongoza timu kama simba hata kwa masaa mawili? Yuko defensive kwenye kujibu maswali, vitisho na uswahili mwingi. Ni kama hadi waliokuwa wanamuhoji walibaki mdomo wazi ikabidi mahojiano yaishe haraka kinyume na matarajio.
 
Wewe ulisoma wapi unaandika Awana limu,awaulizi nk.Hiyo ni lugha gani?
 
Hata kuongea tuu kama kiongozi hajui akiwa anaongea unaweza kudhani ni mzee wa kwenye vijiwe vya kahawa kazee kamejaa majibu ya jeuri na kiburi sana shenzi zake, kuna siku hata vikosi vya uokoaji vitashindwa kumchomoa mikononi mwa raia
Vipi alipowaletea Caesar Manzoki siku ile ya uchaguzi ili kuwasalimia wanachama!! Jakika mlifurahi kweli kweli! Na kura zote mkaamua kumpa yeye! ๐Ÿ˜
 
Shaffi Dauda kuna kipindi nilikuwa namwona pale Twiga Bank (Bank iliyovunjwa), sijui siku hizi yuko wapi. Mwenye uelewa wa fani aliyosomea Shaffi Dauda atujulishe tafadhali. Halafu ndio tuendelee na mjadala.
 
Vipi alipowaletea Caesar Manzoki siku ile ya uchaguzi ili kuwasalimia wanachama!! Jakika mlifurahi kweli kweli! Na kura zote mkaamua kumpa yeye! ๐Ÿ˜
Hakuna chochote unachokijua kuhusiana na hilo ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Shida yake anapenda kujjtetea kwa nguvu kubwa ... Anaulizwa hiki yeye badala yakujibu anabishana, na hiyo ndiyo style yake .

Hajui kama anajiaibisha .
 
Shida yake anapenda kujjtetea kwa nguvu kubwa ... Anaulizwa hiki yeye badala yakujibu anabishana, na hiyo ndiyo style yake .

Hajui kama anajiaibisha .
Kwanza alitakiwa atueleze Manzoki yuko wapi halafu ndipo aje na hizo porojo zake. Mangungo ni tapeli.
 
Ameeleweka vizuri tu.. Tatizo ya njaa ya Watz tunaona kama amekosea.

Najiuliza kuna aliyemuelewa Mo na Try again??
 
Shafih dauda amekuwa dalali siku hizi ndio maana amekuwa bendera fuata upepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ