Hivi kuna aliyefanikiwa kutuma maombi ya sensa?

Uhuru24

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
4,112
Reaction score
4,361
Habari ya mchana wakuuu,

Nauliza kuna mtu yeyote alifanikiwa kujaza hii fomu ya sensa?

Alitumia njia ipi kama nyepesi, maana tunajaza lakini unapotaka kuituma ndio mauzauza yanakuja.

Mimi natumia simu, hivyo basi kama kuna mtu amefanikiwa basi si haba kutupa mbinu mbadala
 
Nimefanikiwa.

Ila nilitumia masaa zaidi ya manne kukamilisha, sababu nilikua natumia simu kwaio ilibidi nisubiri sana ili majina ya mtaa, kata nk., ya yasome. Maana kuna congestion kubwa kwenye website yao kwaio walikua wananiandikia result not found kwenye mtaa, kata na kijiji.

Nilipo maliza nika submit baada ya dakika moja wakanitumia form yao(form No 1).

Kwaio njia nzuri tumia computer.
 
Mbona ipo chapu sanaa tu na sio mm ni watu wengi nawafanyia na wengne wanafanya wenyewe zinaenda. Sema usitumie sim kwa kuwa baada ya kujaza details zako fom ya kuprint inakuja moja moja inabd uprintn na hiyo form haidownloadiki so inabd utumie pc ili uprint moja kwa moja
 
Umasikini ni kitu kibaya sana
 
Habari ya mchana wakuuu,

Nauliza kuna mtu yeyote alifanikiwa kujaza hii fomu ya sensa?

Alitumia njia ipi kama nyepesi, maana tunajaza lakini unapotaka kuituma ndio mauzauza yanakuja.

Mimi natumia simu, hivyo basi kama kuna mtu amefanikiwa basi si haba kutupa mbinu mbadala
Tumia computer utasubiri sana mdogo wangu
Hapo bado uploading sasa na scanning
 
Na je Kama ulishatuma maombi ukafanikiwa kupitia simu.una maanisha ukafungulie email ktk PC..... sidhan kama unaweza kutuma Tena katika pc itakwambia namba ishatumika.
 
Nikituma maombi inalet hivi ailet fomu ya kupakua vp
1652425888630544073082000045438.jpg
 
Mbona ipo chapu sanaa tu na sio mm ni watu wengi nawafanyia na wengne wanafanya wenyewe zinaenda. Sema usitumie sim kwa kuwa baada ya kujaza details zako fom ya kuprint inakuja moja moja inabd uprintn na hiyo form haidownloadiki so inabd utumie pc ili uprint moja kwa moja
Ina downloadika vizur tu go to save as pale pembeni
 
Na je Kama ulishatuma maombi ukafanikiwa kupitia simu.una maanisha ukafungulie email ktk PC..... sidhan kama unaweza kutuma Tena katika pc itakwambia namba ishatumika.
Kuna utofauti kati ya kuendelea ulipoishia kwa kutumia PC na kuanza upya kwa kutumia PC
 
Kutuma maombi ni speed yako na uzoefu wakutumia simu tu ikikataa kuleta info jarb kuchange mkoa au wilaya kisha rud unapopataka inakubali....binafsi sijapata ugumu kutuma maombi kwa simu
 
Kwahiyo Kuna aina mbili ya waombaji wanaopakua Form na wanoomba bila kupakua Form.

Elezeni vizuri
 
Hyo kazi inamshart utafikiri permanent job mpk wadhani nao waweke finger print
 
Ile form ukiijaza unaipakua kisha inaenda kuwekwa dole gumba za wadhamini wako na muhuri wa mtendaji kisha unaipakia tena kwenye site yao
Sasa kwa mlolongo huo unatumaje kwa simu Once unahitajika ku-print na Scan lazima utumie Computer tu.
 
Kaka Kuna CamScanner au hujui print simu imprint vizuri tu... Alafu pale kwenye uzoefu na kishkwambi umeweka Zaid ya mwaka 😂😂
😂😂😂Suala sio simu kuweza ku-print suala ni access ya hiyo Printer wengi hatuna zipo Stationary Sasa ufanya na simu yako alafu kwenye hatua ya ku-print unapangusa makalio unaenda Stationary ku-print si kuruka mkojo kukanyaga mavi...Bora tu kufanyia na computer hukohuko stationary.
 
Ndio nimetuma sio mda na pia hard copy nitapeleka kesho ofsi za mtendaji.
 
Back
Top Bottom