Donald Marcus Hemu
JF-Expert Member
- May 14, 2019
- 372
- 535
sikuwa nimekuelewa vizuri mkuu ila naiman muuliza swali ilinielewa vizuri.... kuprint lazima uprint stationaryUmeelewa swali ?
Nasema unaweza ku print kwenye simu ukapata hard copy Hapo nyumbani .
Maana nimenukuu kauli yako ukimwambia jamaa ukiwa na simu sio lazima kwenda stationary
nimerudi kusema tena nimekuelewa ila huoni kama itasevu senti kadhaa endapo process zote ukamalizia kwenye simu!!? maana stationary hawatatokudai printing tuwatataka na scanning na mamb mengine😂😂😂Suala sio simu kuweza ku-print suala ni access ya hiyo Printer wengi hatuna zipo Stationary Sasa ufanya na simu yako alafu kwenye hatua ya ku-print unapangusa makalio unaenda Stationary ku-print si kuruka mkojo kukanyaga mavi...Bora tu kufanyia na computer hukohuko stationary