Hivi kuna aliyefanikiwa kutuma maombi ya sensa?

Kasave na pesa pia ya stationary
 
we jamaa kichwa chako ni kigumu sana kuelewa aisee😂😂😂 nimekwambia simu inaprint kama kawaida yaan process zote unamaliza kwenye simu haugusi stationary na hayo makalio yako
 
Ivi mkuu ukitaka kubadili wadhamini inawezekana?
Inawezekana, ila upakue ile fomu iliyoandikwa 'fomu ambayo haijasainiwa', ujaze wadhamini wapya na kuipeleka serikali ya mtaa/kata ikasainiwe tena, uje kwenye mfumo ubonyeze 'Huisha (update) kiambatanisho', chagua aina ya kiambatanisho (Fomu Na. 1 iliyosainiwa) uiweke hiyo mpya, itaireplace ile ya zamani
 
Unayo machine ya ku printia kiongoz
mkuu ile form unaprint vizuri tu
Unayo machine ya ku printia kiongozi ?
umeona hizo screenshots hapo chini!!? sio mnabisha tu kwamba kwenye simu haiwezekani... alafu kwenye uzoefu na smartphone mmeweka zaid ya mwaka mmoja.... muda mwingine ni bora umuulize mtu unafanyaje kuliko kusema haiwezekani

Nimekwama naingia username na password inakataaa.mnanisaidiaje mana namba za nbs hasipatikani zote na zikipatikana ni busy mwanzo mwisho.msaada.

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Nimekwama naingia username na password inakataaa.mnanisaidiaje mana namba za nbs hasipatikani zote na zikipatikana ni busy mwanzo mwisho.msaada.

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
copy vizuri ile password waliyokutumia kama unaiandika badala kukopy hakikisha unado the same kwenye uppercase weka uppercase kwenye lowercase weka lowercase mkuu
 
Mkuu samahani....
Kwa hiyo nikishaipakua ,nikate Kwa pen wale wadhamini wazamani then niwaandike hao wapya??
Maana imeshawaandika pale system yenyewe kwenye Ile fomu niliyoidawnlodi.
 
nadhani inawezekana hebu fata maelekezo ya huyo jamaa juu hapo
Mkuu samahani....
Kwa hiyo nikishaipakua ,nikate Kwa pen wale wadhamini wazamani then niwaandike hao wapya??
Maana imeshawaandika pale system yenyewe kwenye Ile fomu niliyoidawnlodi.
 
Mkuu samahani....
Kwa hiyo nikishaipakua ,nikate Kwa pen wale wadhamini wazamani then niwaandike hao wapya??
Maana imeshawaandika pale system yenyewe kwenye Ile fomu niliyoidawnlodi.
nadhani itakuwa vyema sana kuhusu hili mkuu maana hii ya pili ndo inayoenda kufanyiwa assessment japo ile ya kwanza itakuwa kama reference lakini nadhani kwa kufanya hivyo hakutkkuwa na shida yoyote
 
Mimi sina wadhamini toka juzi nimehqngqika kuingia kwenye hiyo website nimeshindwa hadi nimekqta tamaa
 
Mimi sina wadhamini toka juzi nimehqngqika kuingia kwenye hiyo website nimeshindwa hadi nimekqta tamaa
huna wadhamini kivipi mkuu!!? wakati kuna wakina
dada
kaka
mjomba
baba
mama
marafiki ina maana hawa wote umekosa!!? Au hukutaka kulivalia njuga hili swala
 
Mkuu samahani....
Kwa hiyo nikishaipakua ,nikate Kwa pen wale wadhamini wazamani then niwaandike hao wapya??
Sasa ndio nimekupata, maana nadhani sikukupata vizuri mwanzo. Hiyo ngoma nimenyoosha mikono. Baada ya kukuelewa nilitaka nishauri ujaze upya kabisa maana e-mail na namba ya simu unaweza kutumia nyingine, ila sina uhakika kama namba ya NIDA itasababisha ukwame au la, kwa kuwa itakuwa inasomeka kwamba imetumika tayari
 
Umeelewa swali ?

Nasema unaweza ku print kwenye simu ukapata hard copy Hapo nyumbani .

Maana nimenukuu kauli yako ukimwambia jamaa ukiwa na simu sio lazima kwenda stationary
 
Ewala hilo ndo kitu kimenipa changamoto kubwa Sana mkuu nikajikuta nimekata tamaa Tu maana kule kwenye mfumo huwezi kuedit hizo taarifa za wadhamini.... hapo ndo kasheshe ikaja.
Ngoja nijaribu hiyo option ya pili mkuu nione.
 
Umeelewa swali ?

Nasema unaweza ku print kwenye simu ukapata hard copy Hapo nyumbani .

Maana nimenukuu kauli yako ukimwambia jamaa ukiwa na simu sio lazima kwenda stationary
sikuwa nimekuelewa vizuri mkuu ila naiman muuliza swali ilinielewa vizuri.... kuprint lazima uprint stationary
 
Ewala hilo ndo kitu kimenipa changamoto kubwa Sana mkuu nikajikuta nimekata tamaa Tu maana kule kwenye mfumo huwezi kuedit hizo taarifa za wadhamini.... hapo ndo kasheshe ikaja.
Ngoja nijaribu hiyo option ya pili mkuu nione.
Sawa jaribu kubadili e-mail na namba ya simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…