Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,657 Reaction score 20,967 May 21, 2016 #1 Wandugu mimi nimeajiriwa kwa mkataba kwa mtu binafsi huu mwaka wa tatu. Take home ni 900,000 Tsh. bosi wangu ana wafanyakazi 10. Je, kuna benki inaweza nikopesha?
Wandugu mimi nimeajiriwa kwa mkataba kwa mtu binafsi huu mwaka wa tatu. Take home ni 900,000 Tsh. bosi wangu ana wafanyakazi 10. Je, kuna benki inaweza nikopesha?
L Luigi Alfred Member Joined Mar 17, 2016 Posts 66 Reaction score 45 May 21, 2016 #2 Kama Bosi anakubali kuwa mdhamini wako na una vigezo km account ya bank it
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,657 Reaction score 20,967 May 21, 2016 Thread starter #3 Luigi Alfred said: Kama Bosi anakubali kuwa mdhamini wako na una vigezo km account ya bank it Click to expand... nmb wanataka muajiri awe na watu kuanzia 50. hicho ndiyo kilinikwamisha. hamna wenye masharti nafuu?
Luigi Alfred said: Kama Bosi anakubali kuwa mdhamini wako na una vigezo km account ya bank it Click to expand... nmb wanataka muajiri awe na watu kuanzia 50. hicho ndiyo kilinikwamisha. hamna wenye masharti nafuu?
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,496 May 22, 2016 #4 Huna biashara yeyote ya kuzugia? Wacheki Equity wale wepesi sana kutoa mikopo.