Hivi kuna benki zinakopesha walioajiriwa na watu binafsi?

Hivi kuna benki zinakopesha walioajiriwa na watu binafsi?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Wandugu mimi nimeajiriwa kwa mkataba kwa mtu binafsi huu mwaka wa tatu.

Take home ni 900,000 Tsh. bosi wangu ana wafanyakazi 10. Je, kuna benki inaweza nikopesha?
 
Kama Bosi anakubali kuwa mdhamini wako na una vigezo km account ya bank it
nmb wanataka muajiri awe na watu kuanzia 50. hicho ndiyo kilinikwamisha. hamna wenye masharti nafuu?
 
Back
Top Bottom