Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ukifuatilia nyendo za Viongozi Wakuu wa CHADEMA unaona kabisa ni wazi tena kwa makusudi wameamua wawe chawa wa Samia (wa CCM) wakidhani wanamkomoa Hayati Magufuli kwa kile wao hudhani na kuamini eti aliwanyanyasa kwenye harakati zao wakati yeye alipokuwa na Mamlaka 😄.
Binafsi, napatwa na wasiwasi kukihusu hicho chama hasa baadhi ya Viongozi wake Wakuu kuendekeza sifa za u-uchawa na huenda wanasahau wajibu wao wa ki imani, itikadi na sera za wao kama chama cha upinzani walizopata kuwaambukiza wafuasi wao hali inayopelekea wahisi kusalitiwa!
Ipi agenda yao ndani ya u-chawa wao kwa Samia (CCM)?