Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Wewe kinakuuma nini? Acha wafanye inavyowapendeza. Hata hivyo, si ulikuwa ukishadidia kife enzi zile? Unajifanya kujiuliza nini? Mnafiki mkubwa wewe.Ukifuatilia nyendo za Viongozi wakuu wa Chadema unaona kabisa ni wazi tena kwa makusudi wameamua wawe chawa wa Samia (wa CCM) wakidhani wanamkomoa mfu Magufuli kwa kile wao hudhani na kuamini eti aliwanyanyasa kwenye harakati zao wakati yeye alipokuwa na Mamlaka π.
Binafsi, napatwa na wasiwasi kukihusu hicho Chama hasa baadhi ya Viongozi wake wakuu kuendekeza sifa za u- uchawa na huenda wanasahau wajibu wao wa ki imani, itikadi na sera za wao kama Chama cha upinzani walizopata kuwaambukiza wafuasi wao hali inayopelekea wahisi kusalitiwa!
Ipi agenda yao ndani ya u chawa wao kwa Samia ( CCM)?!
Aliyekuloga kabla hajafa aliwaapiza wasaidizi wake kwamba wasithubutu kukuokoaUkifuatilia nyendo za Viongozi wakuu wa Chadema unaona kabisa ni wazi tena kwa makusudi wameamua wawe chawa wa Samia (wa CCM) wakidhani wanamkomoa mfu Magufuli kwa kile wao hudhani na kuamini eti aliwanyanyasa kwenye harakati zao wakati yeye alipokuwa na Mamlaka [emoji1].
Binafsi, napatwa na wasiwasi kukihusu hicho Chama hasa baadhi ya Viongozi wake wakuu kuendekeza sifa za u- uchawa na huenda wanasahau wajibu wao wa ki imani, itikadi na sera za wao kama Chama cha upinzani walizopata kuwaambukiza wafuasi wao hali inayopelekea wahisi kusalitiwa!
Ipi agenda yao ndani ya u chawa wao kwa Samia ( CCM)?!
kimesajiliwa wapi na viongozi wake ni akina nani ?CHAMA PEKEE CHA KUTETEA WATANZANIA NI UMOJA PARTY
COMING SOOON!!!
Wewe ni mpumbavu kabisa unazijua ofisi za ADC kule mwembe yanga wewe?Chadema chama chenye ofisi chafu kuliko zote duniani
Dr Slaa ndani!CHAMA PEKEE CHA KUTETEA WATANZANIA NI UMOJA PARTY
COMING SOOON!!!
Wewe unazijua ofisi za ACT wazalendo pale Magomeni Manyuzi House?Wewe ni mpumbavu kabisa unazijua ofisi za ADC kule mwembe yanga wewe?
Unafikiri hizi chuki zitamfufua yule chizi wenu aliyekufa kwa corona?
Awamu ya Tano walilazwa Njaa balaa ndo maana wanamchukia magu, walikuwa na mikopo bank kibao walikuwa hawajui watalipaje.Ukifuatilia nyendo za Viongozi wakuu wa Chadema unaona kabisa ni wazi tena kwa makusudi wameamua wawe chawa wa Samia (wa CCM) wakidhani wanamkomoa mfu Magufuli kwa kile wao hudhani na kuamini eti aliwanyanyasa kwenye harakati zao wakati yeye alipokuwa na Mamlaka π.