Sio kweli mkuuHakuna chama kinachoweza toa CCM madarakani! CCM ina resources zote. CCM ina resource ya waalimu wote Tz ni CCM, jeshi lote ni CCM. Sasa unaona mtu huyu kwa kura ya tiki huwezi kumtoa maana hata hizi resources nilizotaja ni ⅒.
Chama kama hichi kuondoka katika madaraka huwaga ni accident, huwa inatokea ni saa ambayo mama kajikwaa mbele ya mpizani na mpizani kumpika teke litakalofanya andondoke mazima, hapo ndio ushindi
Wewe ombea kwanza tupate chama cha upinzani ndo ufikirie kama kinaweza kuitoa CCM.Huwa najiuliza ni chama ganii chenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani, kwa sababu CCM ni kama Mandonga Ukimshinda ni kama amekushinda, na akishinda ameshinda.
Namuomba Mungu anijalie afya njema ili siku moja niweze kushuhudia kwa macho yangu CCM ikipigwa knockout na chama chochote cha upinzani.
hata watoa taarifa wote wakiungana hawatafua dafu.Huwa najiuliza ni chama ganii chenye uwezo wa kuitoa CCM madarakani, kwa sababu CCM ni kama Mandonga Ukimshinda ni kama amekushinda, na akishinda ameshinda.
Namuomba Mungu anijalie afya njema ili siku moja niweze kushuhudia kwa macho yangu CCM ikipigwa knockout na chama chochote cha upinzani.
Wakikusikia wenyewe2025 ccm itaanza rasmi Safari ya kukaa benchi.