Hivi kuna collaboration duo iliwahi kutisha kuliko ya Ja Rule na Ashanti?

Hivi kuna collaboration duo iliwahi kutisha kuliko ya Ja Rule na Ashanti?

Na enzi izo viewers YouTube hawatolewi macho......
Ndio maana hata muziki haukuwa kama big G kwa maana siku hizi watu wanafanya muziki kama contents, wapate viewers ili wapate pesa... Hata hapa nyumbani ukiskiliza nyimbo za zamani na za sasa unaona kabisa kuna utofauti mkubwa.
 
Back
Top Bottom