Hivi kuna dawa ya kuacha ushoga?

Sindano na dawa asili wengi zimewaponya.Waone madaktari au tabibu wa tiba asili, ingawa hawa wa tiba asili wengine ni matipeli na cost sana.
Kama huko mkishindwa mumtafute mtu mwaminifu aliyeokoka atamwombea bure na kupona, may be it's bad spirit.
Poleni.
 
Sasa mtafanya nini na dume zima 28* ambalo limeamua kuwa punga.

Hapo cha msingi nyie mwambieni mnasubiri mtoto atakayezaa na mumewe, Mungu anaziona nafsi zenu zilivyo nyong'onyea.atawapa ujasiri wa kukubali.

Lakini nina swali kabla sijamaliza, mmemuuliza alianzaje, isije ikawa mnajifungia chumbani kwenye dressing table na kaka yenu toka miaka hiyo, halafu mnashangaa haya kutokea.
 
kwani umaskini unachangia mtu kuwa shoga, mashoga wengi wametoka kwenye familia nzuri tu so ishu ya umaskini ifute kichwani kwako kabisa
Kuna wanaopumuliwa sababu ya umaskini bro.

Huoni mashoga wengine wanapumuliwa na vigogo tu, wanapangishiwa nyumba na kupewa mahitajai yote na mabasha wao ingekuwa sio umaskini wasingefanya hivyo bro.
 
 
Me ushauri wangu mtafuta rafiki yako wa kike uliyeshibana nae uwakutanishe wawe wanafanyana kila siku at least anaweza akaona uthamani wa kuwa mwanaume
 
Pia umpeleke kwa wanasaikolojia wam council inawezekana ameanza kuchezea dudu tangu zamani
 
mkuu kwanza ni kuongea naye bila ya kumlaumu au kumnyanyasa sababu haitasaidia.. vyema ongea naye kwa upole umuulize ilikuwaje na je yupo tayari kuacha .. kama yupo tayari tafuta wataalamu wamshauri.. kingine kama hadindi ni tatizo lingine .. akiwa anandinda mnaweza muweka kaibu na demu akamsaidia pia
 
Hapa ni kukaa nae karibu na kumshauri amtaje mtu anayemfanyia hivyo vitendo

Inamaana ya kwamba mnaweza kumfuuata mtuhumiwa na kumwambia tumeshakujua kwamba wewe ndiye unayemharibu kijana wetu, mtakavyo mwambia mnatishia kumweka hadharani.

Hii itapelekea watu waanze kumkwepa kwa kuhofia kutajwa na huyo kijana, kuliko kumwambia kijana acha kufanya mambo hayo bila kuwatingisha wanaompumulia itakuwa vigumu
 
dooh! pole sana mkuu...
hapo kwa hali kama iyo kuna maswali yakujiuliza kama familia.
1.uume wake unafanya kazi vizur?
2.alishawai kuwa na mausiano na mwanamke kabla?
3.ana muda gani na mambo hayo?

hapo kidogo utapata pa kuanzia musaidie vp
lakini inakuwaje kama familia amuoni hata matendo ya ndugu yetu kwanzia utoto wake mpaka umri huo!
 
It is sad indeed.
 
daaaaaah so sad ila ni vema kama yuko tayari kuacha hiyo tabia maana inaweza kuta ww unataka kumsaidia lkn yy hayupo tayari kwa hilo kama yupo tayari mumpeleke kwanza kwa wataalamu wa afya i mean hospital kisha arejee kwa Muumba wake atubu kwake maana yy ni mwingi wa rehema atamrehemu kisha apate mtu wa kumfundisha neno la Mungu na kumueleza jinsi ilivyo hayo anayoyatenda ni chukizo mbele za Mungu
Yesu anasema njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo ya dhambi zenu nami nitawapumzisha mtwike yeye fadhaa zako nanyi wakaribu naye msiache kumuombea na kumueleza jinsi hilo analolifanya ni chukizo kwa muumba wetu lkn mkifanya hivyo mfanye kwa moyo wa unyenyekevu na upole ili asijisikie vibaya ni maombi yangu kwa Mungu wa mbinguni amponye na amrejeshe
 
kama anafanya kwa starehe (sio kwa ajili ya fedha) yaani anapenda mchezo huo...hatoacha
 
Dah poleni sana.
Mimi nimeshawahi kushuhudia wanaume actually vijana wawili wa kiume na mmoja wa kike akishuhudia kuacha hizo tabia baada ya kufanyiwa counselling pamoja na maombi. Tho sijui kama ni kweli wameacha au vipi. Jaribuni maombi
 
Kama mna hela mhamishieni Marekani...huku Africa atakua bashed sana ata-commit suicide tu....

Cha msingi ahamie Marekani au Ulaya,huko mumpelekee mahospitali ya kishua kama ushoga wake ni wa behavioral atapona fasta tu ila kama ni DNA abaki huko huko aishi maisha yake kama wanadamu wengine..

Kwa Tanzania hawezi ishi kama mwanadamu wa kawaida,na nyie mtakua very vurnerable na kudharaulika sana...aende Amerika au Ulaya
 
DUH,ni mtihani huo,,atakuwa na jini mahaba ,,,,,inabidi afanyiwe maombi (duaa).... na pia apelekwe hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…