jameni kweli watu mana utani wa kuchekesha sana,,,mtu anaomba msaada wewe unapost picha hii kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jameni kweli watu mana utani wa kuchekesha sana,,,mtu anaomba msaada wewe unapost picha hii kweli
Kuna wanaopumuliwa sababu ya umaskini bro.kwani umaskini unachangia mtu kuwa shoga, mashoga wengi wametoka kwenye familia nzuri tu so ishu ya umaskini ifute kichwani kwako kabisa
Habari zenu humu ndani jamani. Ningeomba mnisaidie kujua kama kuna dawa ya kuacha ushoga au namna ambayo mtu anayefanya ushoga anaweza akasaidiwa kuacha. Nina mdogo wangu wa kiume ana miaka 28 sasa, elimu yake ni degree. Alishafanya kazi sehemu lakini kwa sasa hana kazi(anatafuta).
Hivi karibuni tumegundua kuwa anafanya mambo ya kishoga, ni baada ya mama kukuta meseji kwenye simu yake za mwanaume akiwa anamwambia ni jinsi gani alivyofuraia kumfanya kinyume na maumbile "nimepunguza ukali wa maneno kidogo hapa"maana hizo meseji huwezi ziangalia mara mbili kwakweli.
Yaani yeye ndie anayefanywa, kwakweli tumeumia sana kama familia, na haya mambo ndugu zanguni yasikieni tu kwa watu, yakitokea kwenye familia yenu yanaumiza sana.
Tulimsema sana (mimi na mama) na kwasababu tulikuwa naushahidi akabaki kajiinamia tu kwa aibu,yani hapa tulipo hatujui cha kufanya . Bora angekuwa mtoto tungemfungia ndani na ingekuwa rahisi ata kumcontrol.
Naombeni ushauri jamani, angalau mawazo yatasaidia kwa njia moja au nyingine. Baba alishafariki,angekuwepo angepata fedheha sana na kuumia zaidi.[/QUOTE
Bashite akianza kufuatilia hawa watu mnamuundia zengwe,madawa na ushoga ni kero jamani tumuunge mkono makonda na muheshimiwa waziri,way forward hakuna njia yoyote hapa akiwashwa lazima atake dushelele njia pekee ni kurudi katika misingi ya dini yake ajue adhabu ya anayoyafanya kwa hyo ayafanye kama anayataka au aache kama hataki!
It is sad indeed.Ninapokutana na habari kama hizi, hua ninasikitika sana hasa ninapo fikiria kwamba nami nina mtoto wa kiume.
Najaribu kuwa karibu na watoto wangu ili kuwaepusha na mabaya ya dunia.
Ninawajenga katika misingi ya dini na kuwafundisha kuwa wenye hofu ya Mungu.
Zaidi nawaombea kila siku ili wasije ingia kwenye mauanga ya dunia hii ilio jaa kila majaribu.
Pole sana Mkuu.....
Mimi nimeishiwa maneno, zaidi ya kupata huzuni tu
duu aisee ni shida kwa kweli.Doh poleni sana, sasa dume lililobaki kulinda familia nalo lataka kulindwa.