miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
kabisa waende naye pole pole la sivyo atajisogezaHamna namna, kuiona kwa nia njema sidhani kama ni shida, ila mtu age ya 28 sio kazi ndogo aisee, yaani ni mtu mzima kabisa alifanya maamuzi yote na kuyamaliza, wacheze pole wanaweza kusikia ka-commit suicide!
Ikiwa wanakaa kwake?Wewe na mama'ko mnakaa kwake au yeye anakaa kwenu?
ni kwel kbsdaaaaaah so sad ila ni vema kama yuko tayari kuacha hiyo tabia maana inaweza kuta ww unataka kumsaidia lkn yy hayupo tayari kwa hilo kama yupo tayari mumpeleke kwanza kwa wataalamu wa afya i mean hospital kisha arejee kwa Muumba wake atubu kwake maana yy ni mwingi wa rehema atamrehemu kisha apate mtu wa kumfundisha neno la Mungu na kumueleza jinsi ilivyo hayo anayoyatenda ni chukizo mbele za Mungu
Yesu anasema njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo ya dhambi zenu nami nitawapumzisha mtwike yeye fadhaa zako nanyi wakaribu naye msiache kumuombea na kumueleza jinsi hilo analolifanya ni chukizo kwa muumba wetu lkn mkifanya hivyo mfanye kwa moyo wa unyenyekevu na upole ili asijisikie vibaya ni maombi yangu kwa Mungu wa mbinguni amponye na amrejeshe
kiukwel boarding ndo zinawaharibuDaah, poleni kwa ilo saibu
Inawezekana toka long time ago anafanywa. Sasa hapo possibly yy mwenyewe ndo aache kwa kuamua.
Imefika mahela sasa watoto waanze kusoma boarding wakiwa wako matured na kutotoa nafasi jamii iwafundishe ustaarabu rather wazazi waone jukumu lao kama sehemu ya malezi.
niushaaani kwel kbs
naare mndu
watu wengine bwana hawapendi kuachwa nyuma, akisafishwa si ndo anaongezewa hamu! anaanza upya, du ushoga ingekuwa inawezekana kuuacha kirahisi hivyo tungewabeba kina delicious wakapigwe bomba ili iwe basi, ushoga usikie hivyohivyo kwa jiraniNingekushauri muende hospital hilo tatizo litaisha. Ninasikiaga watu hao wanapigwaga bomba kuondoa mauchafu yote huko nyuma na baada ya hapo anakuwa yupo fresh.
mashehe na mapadri ndio wafrj wakubwa tuombe mungu awaokoe vijana wetu ili koo zetu ziendeleeMimi nadhani, endapo tukimrejea mungu na kuheshi mafunzo tunayo yapata katika vitabu vya mungu lazima ushoga utaisha
hofu ya mungu ni kinga pekee inayo weza kutusaidia na kutuhepusha na hayo yote.
pia wazazi na walezi tuwe Karibu sana na wanetu.
mpelekeni kwa Hospital mtapewa ushauri zaidi.
Kumpokea Yesu pekee bado msidanganye watu, huyo apatiwe msaada wa kisaikolojiaAokoke ampe Bwana Yesu Maisha yake 100% atarudi normal. Pia ataweza kuwa huru kukuhadithieni the history nzima ya hilo tatizo.kazi kwako kuchukua hatua
Ishu kama hiyo ni hulka na tamaa wanapenda expensive things hawawez kuafford afu hawataki kuchokaKuna wanaopumuliwa sababu ya umaskini bro.
Huoni mashoga wengine wanapumuliwa na vigogo tu, wanapangishiwa nyumba na kupewa mahitajai yote na mabasha wao ingekuwa sio umaskini wasingefanya hivyo bro.
Mwenyezi Mungu atusaidie kuwalinda watoto wetu....[emoji25]Mkuu, kuna watt niliona social networks wanahojiwa na waalimu wao. You cant imagine watt wa drs la 3-4 wanageuzana wao kwao
Sasa chakujiuliza, wamejifunza huo mchezo wapi
Mhhh sio kweli huwa wanauwezo wa kumuwahi kabla hajabalehe lakini akishabalehe ni ngumuNingekushauri muende hospital hilo tatizo litaisha. Ninasikiaga watu hao wanapigwaga bomba kuondoa mauchafu yote huko nyuma na baada ya hapo anakuwa yupo fresh.
BI mkubwa ushaambiwa hana kazi itakuwa anakaa kwa nyumba ya Baba na Mama msaidie basiWewe na mama'ko mnakaa kwake au yeye anakaa kwenu?
😳Daaa, pole sana. sina cha kusema kwakweli ni huzuni tu