Hivi kuna dawa ya kuacha ushoga?

Hivi kuna dawa ya kuacha ushoga?

Hamna namna, kuiona kwa nia njema sidhani kama ni shida, ila mtu age ya 28 sio kazi ndogo aisee, yaani ni mtu mzima kabisa alifanya maamuzi yote na kuyamaliza, wacheze pole wanaweza kusikia ka-commit suicide!
kabisa waende naye pole pole la sivyo atajisogeza
 
Yeye yupo tayari kuacha? Tusije tukafanya kazi ya kumshauri Chid Benzi mdogo
 
_95138407_stage976.jpg


Hawa ni transexual walikuwa waume sasa wanapouse kama wanawake. Singapore.
 
duh yaani hapo tusipende mzaa kwa kuchangia uzii huu ,wtz wengi tunapenda mambo
kuchukulia kwa mzaha mzaha tu.
wengine wanakejeli, wengine wanaomba namba zake sijui ndo walele wameonyeshwa asali ilipo

kwanza pole kwa huyo ndugu yako kupatwa na hilo tatizo,
hapo kubwa zaidi ni kwamba ''yale malinda tayali yameshatatuliwa ina maana kinachomsumbua ni kale kamwasho muwasho anapenda kukunwa,
na hapa inahitaji mbinu mbadala ya kurejesha malinda yake kama awali,

kaa uongee nae akikubali aanze tiba ya majani ya Mgagani pamoja na maji ya moto,
majani hayo yanapatikana sehemu za nyuma ya nyumba,au uwani anakanda akimaliza anaweka, kwenye haja kubwa ndani ya week mbili malinda yanaludi upyaa na kudindisha kunarudi palepale,
msaada wangu ndo huo
 

Attachments

  • 11324976_483523931805599_2142755861_n.jpg
    11324976_483523931805599_2142755861_n.jpg
    14.9 KB · Views: 302
daaaaaah so sad ila ni vema kama yuko tayari kuacha hiyo tabia maana inaweza kuta ww unataka kumsaidia lkn yy hayupo tayari kwa hilo kama yupo tayari mumpeleke kwanza kwa wataalamu wa afya i mean hospital kisha arejee kwa Muumba wake atubu kwake maana yy ni mwingi wa rehema atamrehemu kisha apate mtu wa kumfundisha neno la Mungu na kumueleza jinsi ilivyo hayo anayoyatenda ni chukizo mbele za Mungu
Yesu anasema njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo ya dhambi zenu nami nitawapumzisha mtwike yeye fadhaa zako nanyi wakaribu naye msiache kumuombea na kumueleza jinsi hilo analolifanya ni chukizo kwa muumba wetu lkn mkifanya hivyo mfanye kwa moyo wa unyenyekevu na upole ili asijisikie vibaya ni maombi yangu kwa Mungu wa mbinguni amponye na amrejeshe
ni kwel kbs
naare mndu
 
Daah, poleni kwa ilo saibu

Inawezekana toka long time ago anafanywa. Sasa hapo possibly yy mwenyewe ndo aache kwa kuamua.

Imefika mahela sasa watoto waanze kusoma boarding wakiwa wako matured na kutotoa nafasi jamii iwafundishe ustaarabu rather wazazi waone jukumu lao kama sehemu ya malezi.
kiukwel boarding ndo zinawaharibu
 
Ningekushauri muende hospital hilo tatizo litaisha. Ninasikiaga watu hao wanapigwaga bomba kuondoa mauchafu yote huko nyuma na baada ya hapo anakuwa yupo fresh.
watu wengine bwana hawapendi kuachwa nyuma, akisafishwa si ndo anaongezewa hamu! anaanza upya, du ushoga ingekuwa inawezekana kuuacha kirahisi hivyo tungewabeba kina delicious wakapigwe bomba ili iwe basi, ushoga usikie hivyohivyo kwa jirani
 
Mimi nadhani, endapo tukimrejea mungu na kuheshi mafunzo tunayo yapata katika vitabu vya mungu lazima ushoga utaisha

hofu ya mungu ni kinga pekee inayo weza kutusaidia na kutuhepusha na hayo yote.

pia wazazi na walezi tuwe Karibu sana na wanetu.

mpelekeni kwa Hospital mtapewa ushauri zaidi.
mashehe na mapadri ndio wafrj wakubwa tuombe mungu awaokoe vijana wetu ili koo zetu ziendelee
 
Aokoke ampe Bwana Yesu Maisha yake 100% atarudi normal. Pia ataweza kuwa huru kukuhadithieni the history nzima ya hilo tatizo.kazi kwako kuchukua hatua
Kumpokea Yesu pekee bado msidanganye watu, huyo apatiwe msaada wa kisaikolojia
 
Kuna wanaopumuliwa sababu ya umaskini bro.

Huoni mashoga wengine wanapumuliwa na vigogo tu, wanapangishiwa nyumba na kupewa mahitajai yote na mabasha wao ingekuwa sio umaskini wasingefanya hivyo bro.
Ishu kama hiyo ni hulka na tamaa wanapenda expensive things hawawez kuafford afu hawataki kuchoka
 
Mkuu, kuna watt niliona social networks wanahojiwa na waalimu wao. You cant imagine watt wa drs la 3-4 wanageuzana wao kwao

Sasa chakujiuliza, wamejifunza huo mchezo wapi
Mwenyezi Mungu atusaidie kuwalinda watoto wetu....[emoji25]
 
Ningekushauri muende hospital hilo tatizo litaisha. Ninasikiaga watu hao wanapigwaga bomba kuondoa mauchafu yote huko nyuma na baada ya hapo anakuwa yupo fresh.
Mhhh sio kweli huwa wanauwezo wa kumuwahi kabla hajabalehe lakini akishabalehe ni ngumu
 
Inawezekana tuu simpo Dawa ni kumleta Kwa Yesu hilo ni pepo Hakuna Dawa Wala ushauri nasaha hapo.. .aombewe kwanza then akisha funguliwa amue kumfuata Yesu awe Bwana Na Mwokozi wake. Hakuna jambo gumu kwake Yesu.. Hope umenielewa
 
Nafikili counselling ndio itaweza kumsaidia ila kitu cha kwanza akubali ana tatizo na anahitaji msaada wa kuacha vinginevyo itakuwa kazi bure
 
Back
Top Bottom