duh yaani hapo tusipende mzaa kwa kuchangia uzii huu ,wtz wengi tunapenda mambo
kuchukulia kwa mzaha mzaha tu.
wengine wanakejeli, wengine wanaomba namba zake sijui ndo walele wameonyeshwa asali ilipo
kwanza pole kwa huyo ndugu yako kupatwa na hilo tatizo,
hapo kubwa zaidi ni kwamba ''yale malinda tayali yameshatatuliwa ina maana kinachomsumbua ni kale kamwasho muwasho anapenda kukunwa,
na hapa inahitaji mbinu mbadala ya kurejesha malinda yake kama awali,
kaa uongee nae akikubali aanze tiba ya majani ya Mgagani pamoja na maji ya moto,
majani hayo yanapatikana sehemu za nyuma ya nyumba,au uwani anakanda akimaliza anaweka, kwenye haja kubwa ndani ya week mbili malinda yanaludi upyaa na kudindisha kunarudi palepale,
msaada wangu ndo huo