Hivi kuna dawa ya kuacha ushoga?

Hivi kuna dawa ya kuacha ushoga?

Aisee pole sana. naifahamu njia ya kienyeji , imewahi kushuhudiwa pahala kwamba ilileta matunda.
  • of course anapaswa ajiandae kisaikolojia kuacha hiyo habari.
  • chukua Ndizi ( Bukoba) isiwe ndizi mbivu, ndizi ya kawaida ya kupika, iweke pahala ipate joto lisilo la kuifanya iwe laini sana ipate tu joto la kadri , kisha hiyo ndizi yenye moto/joto ielekezwe eneo lake la haja kubwa ( isiwe na mto mkali sana wa kuacha majeraha, moto/joto la kadri tu) , inaaminika kwamba ikiingia huko itaunguza na kuirudisha ile mikunjo ya huko nyuma( wengine wanaita marinda) na kuzuia uwezekano wa penetration, na aidha maumivu atakayoyasikia hatorudia hiyo kitu, you may try it.
Aisee kumbe watu wamehangaika sana na hili janga la ushoga.
 
BI mkubwa ushaambiwa hana kazi itakuwa anakaa kwa nyumba ya Baba na Mama msaidie basi

Kutokuwa na kazi si sababu ya kukaa kwa baba na mama.

Usipende kurukia vitu, kasome vizuri, baba yao hayupo.

Swali nililouliza lina maana sana kwa anaeelewa.
 
Hakuna anaeanza ushoga ukubwani na hakuna anae acha ukubwani bila ya Yesu kuingilia kati
 
Kutokuwa na kazi si sababu ya kukaa kwa baba na mama.

Usipende kurukia vitu, kasome vizuri, baba yao hayupo.

Swali nililouliza lina maana sana kwa anaeelewa.
Wewe tuliza akili mpe ushauri basi manake unaonekana umekula chumvi nyingi hawezi kosa neno la matumaini wazee wa siku hizi wabiishii sijui kwa nini
 
_95138407_stage976.jpg

Hawa ni transexual walikuwa waume sasa wanapouse kama wanawake. Singapore.
Shabaash [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
Ndo maana yule NW anakimbizana na mapunga instagram

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
duh yaani hapo tusipende mzaa kwa kuchangia uzii huu ,wtz wengi tunapenda mambo
kuchukulia kwa mzaha mzaha tu.
wengine wanakejeli, wengine wanaomba namba zake sijui ndo walele wameonyeshwa asali ilipo

kwanza pole kwa huyo ndugu yako kupatwa na hilo tatizo,
hapo kubwa zaidi ni kwamba ''yale malinda tayali yameshatatuliwa ina maana kinachomsumbua ni kale kamwasho muwasho anapenda kukunwa,
na hapa inahitaji mbinu mbadala ya kurejesha malinda yake kama awali,

kaa uongee nae akikubali aanze tiba ya majani ya Mgagani pamoja na maji ya moto,
majani hayo yanapatikana sehemu za nyuma ya nyumba,au uwani anakanda akimaliza anaweka, kwenye haja kubwa ndani ya week mbili malinda yanaludi upyaa na kudindisha kunarudi palepale,
msaada wangu ndo huo
Mkuu, unaonaje sasa hii tiba yako ufanye watu wengi waijue?!

Maana naamini kunao watu hawakupenda na wanatamani kuacha ila labda kuona jamii itawaonaje (aibu).

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Daah, poleni kwa ilo saibu

Inawezekana toka long time ago anafanywa. Sasa hapo possibly yy mwenyewe ndo aache kwa kuamua.

Imefika mahela sasa watoto waanze kusoma boarding wakiwa wako matured na kutotoa nafasi jamii iwafundishe ustaarabu rather wazazi waone jukumu lao kama sehemu ya malezi.

Hilo la boarding sasa limehamia mpaka shule za Day.

Jamani wazuieni watoto kutazama vipindi vya katuni na vya watoto vya nje, hususan zinazotolewa USA. Vinaharibu watoto makusudi (brainwashed) wanakuwa kama misukule ya ngono za jinsi moja.
 
ushoga ni roho na hakuna namna nyingine ya kuacha ushoga zaidi ya msalaba wa Yesu Kristo. nenda youtube uangalie video nyingi TB JOSHUA MUNGU akimtumia kufungua watu wa aina hiyo. Poleni sana ila suluhisho ni BWANA YESU. ni PM NIKUELEKEZE KITU
 
  • Thanks
Reactions: ghd
Inaonesha haja kubuhu hilo lakwanza kama amekubuhu kufanya huo uchafu mngejua kwa kumuona tu na tabia zake ila mmekuja kumjua kwa msg inaamaana anafanya kwa siri na kwa kujificha sana mpaka hapo mumshukuru Mungu hajafikia ktk hali hatarishi ya kutooana aibu mbele za watu so ni rahisi kupita kiasi huyo kuacha.

1. Kwa uhalisia ulivo na anafanya kwa siri tafuta mtu mzima atoke ktk koo yenu anaemuheshimu zaidi iwe ndo fimbo yake amuelimishe kiustaarabu hasara ya hiyo kitu na jinsi dini zinavokataza juu ya hilo swala na adhabu zake katika misingi ya dini.

2. Mtafutieni tiba ila ukae ukijua sio Kanisani wala msikitini wala hospitali inaweza kumsaidia kitiba ila Mitishamba na mambo ya Jadi yanasaidia kuwacha hiyo kitu mm nishaona watu zaidi ya kumi wakiacha hio issue.

3. Mtafutieni mke baada yakuhakikisha hayo ya juu yamepata muelekeo.
 
duh yaani hapo tusipende mzaa kwa kuchangia uzii huu ,wtz wengi tunapenda mambo
kuchukulia kwa mzaha mzaha tu.
wengine wanakejeli, wengine wanaomba namba zake sijui ndo walele wameonyeshwa asali ilipo

kwanza pole kwa huyo ndugu yako kupatwa na hilo tatizo,
hapo kubwa zaidi ni kwamba ''yale malinda tayali yameshatatuliwa ina maana kinachomsumbua ni kale kamwasho muwasho anapenda kukunwa,
na hapa inahitaji mbinu mbadala ya kurejesha malinda yake kama awali,

kaa uongee nae akikubali aanze tiba ya majani ya Mgagani pamoja na maji ya moto,
majani hayo yanapatikana sehemu za nyuma ya nyumba,au uwani anakanda akimaliza anaweka, kwenye haja kubwa ndani ya week mbili malinda yanaludi upyaa na kudindisha kunarudi palepale,
msaada wangu ndo huo
Mkuu hii tiba umeifanyia majaribio? Isije ikam-drive kubobea gomora!
 
Kama mna hela mhamishieni Marekani...huku Africa atakua bashed sana ata-commit suicide tu....

Cha msingi ahamie Marekani au Ulaya,huko mumpelekee mahospitali ya kishua kama ushoga wake ni wa behavioral atapona fasta tu ila kama ni DNA abaki huko huko aishi maisha yake kama wanadamu wengine..

Kwa Tanzania hawezi ishi kama mwanadamu wa kawaida,na nyie mtakua very vurnerable na kudharaulika sana...aende Amerika au Ulaya
Ushoga una DNA mkuu?
 
Nikisikia ndizi mbichi inachemshwa na maganda yake hlf anaingiziwa nyuma kwa sekunde 10 ndo dawa mzee mmoja hv mtu wa magari makubwa aliitoa kongo hiyo....am not sure km ina work
 
Aisee pole sana. naifahamu njia ya kienyeji , imewahi kushuhudiwa pahala kwamba ilileta matunda.
  • of course anapaswa ajiandae kisaikolojia kuacha hiyo habari.
  • chukua Ndizi ( Bukoba) isiwe ndizi mbivu, ndizi ya kawaida ya kupika, iweke pahala ipate joto lisilo la kuifanya iwe laini sana ipate tu joto la kadri , kisha hiyo ndizi yenye moto/joto ielekezwe eneo lake la haja kubwa ( isiwe na mto mkali sana wa kuacha majeraha, moto/joto la kadri tu) , inaaminika kwamba ikiingia huko itaunguza na kuirudisha ile mikunjo ya huko nyuma( wengine wanaita marinda) na kuzuia uwezekano wa penetration, na aidha maumivu atakayoyasikia hatorudia hiyo kitu, you may try it.
Hahahahaha dawa zingine noma sanaa
 
Mimi nadhani, endapo tukimrejea mungu na kuheshi mafunzo tunayo yapata katika vitabu vya mungu lazima ushoga utaisha

hofu ya mungu ni kinga pekee inayo weza kutusaidia na kutuhepusha na hayo yote.

pia wazazi na walezi tuwe Karibu sana na wanetu.

mpelekeni kwa Hospital mtapewa ushauri zaidi.
Kweli
 
Back
Top Bottom