Hivi kuna dawa ya kuacha ushoga?

Nikisikia ndizi mbichi inachemshwa na maganda yake hlf anaingiziwa nyuma kwa sekunde 10 ndo dawa mzee mmoja hv mtu wa magari makubwa aliitoa kongo hiyo....am not sure km ina work
Uwongo mtupu...shoga atakae acha labda wa kuanzia UKUBWANI...miaka 25 juendelea....lakini wanaoanzia utoto..kabla ya BALEHE.... Hiyo ni BABA JENI BYE BYE [emoji112].... hakuna kuacha
 
Kama hapa Ushirombo kuna jamaa anaitwa Omari Kibisa aisee anapumuliwa bila kujificha na karibu wana ushirombo wote wanamjua ndie shoga wa mji ila sio la kujivunia ni huzuni kweli kweli.
 



Wenzake hawa wamekombolewa... Lipo Tumain.. Bado hamjachelewa
 
Ningekushauri muende hospital hilo tatizo litaisha. Ninasikiaga watu hao wanapigwaga bomba kuondoa mauchafu yote huko nyuma na baada ya hapo anakuwa yupo fresh.
Haitasaidia km yeye anataka,nadhani counselling inwz saidia,lkn na wao huenda wamegundua tatizo wakiwa wamechelewa.
 
kwani umaskini unachangia mtu kuwa shoga, mashoga wengi wametoka kwenye familia nzuri tu so ishu ya umaskini ifute kichwani kwako kabisa
Na ushoga pia hauhusiani na homoni za kike,wengi huanzia utotoni,so huenda alipokua mdogo kuna mtu alimuharibu.
 
Nashauri mkawaone wataalamu wa saikolojia wanaweza kumfanyia counselling akaacha.
Poleni kwa fedheha mliyoipata.
 

duuh[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Yaani haya mambo yanavyozidi kushika hatamu... huwa namshukuru Mungu kwa kunipa watoto wa kike. Najua wanawake wanasagana pia ila haimumizi kama kusikia mwanao analobokewa.

Kwakweli ni kumuomba Mungu aweke mikono yake vinginevyo unaweza kumuua mwanao bure.
 
Kiukweli kuna suala la imani hapo, japo wengi hupuuza na hawamini kwa hili; C jambo la kumlaumu ni vema familia pamoja na yeye kusimama ktk ukombozi wa kristo yesu kwa hakika minyororo alofungwa itakatika na kubaki huru ama kwa hakika ukimdodosa kisaikojia utangundua kuna chanzo na yeye hawez elewa ni vipi kajiingiza ktk mchezo huo mchafu

Mungu anaweza yote, maombi yanahitajika kumtoa ktk hali hii kwakweli maana shida nyingi zitakuja kwa mlango upo wazi.

Mungu awatie nguvu jamani, msifadhaike mioyo yenu elekezeni faraja kwake kwa hakika atatenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…