Hivi kuna dawa ya kuacha ushoga?

Hivi kuna dawa ya kuacha ushoga?

731584410aa61eac3b1f8fb0a0fc32b8.gif
hah hah hah mkuu nimecheka sana dah! Nadhani mtoa mada ameomba ushauri au?
 
Nikisikia ndizi mbichi inachemshwa na maganda yake hlf anaingiziwa nyuma kwa sekunde 10 ndo dawa mzee mmoja hv mtu wa magari makubwa aliitoa kongo hiyo....am not sure km ina work
Uwongo mtupu...shoga atakae acha labda wa kuanzia UKUBWANI...miaka 25 juendelea....lakini wanaoanzia utoto..kabla ya BALEHE.... Hiyo ni BABA JENI BYE BYE [emoji112].... hakuna kuacha
 
Kama hapa Ushirombo kuna jamaa anaitwa Omari Kibisa aisee anapumuliwa bila kujificha na karibu wana ushirombo wote wanamjua ndie shoga wa mji ila sio la kujivunia ni huzuni kweli kweli.
 






Wenzake hawa wamekombolewa... Lipo Tumain.. Bado hamjachelewa
 
Ningekushauri muende hospital hilo tatizo litaisha. Ninasikiaga watu hao wanapigwaga bomba kuondoa mauchafu yote huko nyuma na baada ya hapo anakuwa yupo fresh.
Haitasaidia km yeye anataka,nadhani counselling inwz saidia,lkn na wao huenda wamegundua tatizo wakiwa wamechelewa.
 
kwani umaskini unachangia mtu kuwa shoga, mashoga wengi wametoka kwenye familia nzuri tu so ishu ya umaskini ifute kichwani kwako kabisa
Na ushoga pia hauhusiani na homoni za kike,wengi huanzia utotoni,so huenda alipokua mdogo kuna mtu alimuharibu.
 
Nashauri mkawaone wataalamu wa saikolojia wanaweza kumfanyia counselling akaacha.
Poleni kwa fedheha mliyoipata.
 
Aisee pole sana. naifahamu njia ya kienyeji , imewahi kushuhudiwa pahala kwamba ilileta matunda.
  • of course anapaswa ajiandae kisaikolojia kuacha hiyo habari.
  • chukua Ndizi ( Bukoba) isiwe ndizi mbivu, ndizi ya kawaida ya kupika, iweke pahala ipate joto lisilo la kuifanya iwe laini sana ipate tu joto la kadri , kisha hiyo ndizi yenye moto/joto ielekezwe eneo lake la haja kubwa ( isiwe na mto mkali sana wa kuacha majeraha, moto/joto la kadri tu) , inaaminika kwamba ikiingia huko itaunguza na kuirudisha ile mikunjo ya huko nyuma( wengine wanaita marinda) na kuzuia uwezekano wa penetration, na aidha maumivu atakayoyasikia hatorudia hiyo kitu, you may try it.

duuh[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Ninapokutana na habari kama hizi, hua ninasikitika sana hasa ninapo fikiria kwamba nami nina mtoto wa kiume.
Najaribu kuwa karibu na watoto wangu ili kuwaepusha na mabaya ya dunia.
Ninawajenga katika misingi ya dini na kuwafundisha kuwa wenye hofu ya Mungu.
Zaidi nawaombea kila siku ili wasije ingia kwenye mabaya ya dunia hii ilio jaa kila aina za majaribu.

Pole sana Mkuu.....
Mimi nimeishiwa maneno, zaidi ya kupata huzuni tu
Yaani haya mambo yanavyozidi kushika hatamu... huwa namshukuru Mungu kwa kunipa watoto wa kike. Najua wanawake wanasagana pia ila haimumizi kama kusikia mwanao analobokewa.

Kwakweli ni kumuomba Mungu aweke mikono yake vinginevyo unaweza kumuua mwanao bure.
 
Kiukweli kuna suala la imani hapo, japo wengi hupuuza na hawamini kwa hili; C jambo la kumlaumu ni vema familia pamoja na yeye kusimama ktk ukombozi wa kristo yesu kwa hakika minyororo alofungwa itakatika na kubaki huru ama kwa hakika ukimdodosa kisaikojia utangundua kuna chanzo na yeye hawez elewa ni vipi kajiingiza ktk mchezo huo mchafu

Mungu anaweza yote, maombi yanahitajika kumtoa ktk hali hii kwakweli maana shida nyingi zitakuja kwa mlango upo wazi.

Mungu awatie nguvu jamani, msifadhaike mioyo yenu elekezeni faraja kwake kwa hakika atatenda
 
Back
Top Bottom