Hivi kuna dawa ya kuzuia upaa??

Hivi kuna dawa ya kuzuia upaa??

nyanga kante

Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
36
Reaction score
34
Jamani naomba msaada kuhusu hili, kuna rafiki yangu ana miaka 17 tu ila tayari ameshaanza kupata dalili za upaa kitu ambacho kimekua kikimletea msongo wa mawazo. Naomba kujua kama upaa una tiba au ukikupata tu ndo milele, na kama una tiba ni ipi?
 
Ndoo ukubwa huo na pesa zinamnyemelea
 
Hakuna dawa ya kuzuia UPARA labda kama yuko vzr kifedha akafanyiwe operation kama aliyofanya Rooney cha msingi mwambie ajiandae kukabiliana na MSONGO wa mawazo.
 
Jamani naomba msaada kuhusu hili, kuna rafiki yangu ana miaka 17 tu ila tayari ameshaanza kupata dalili za upaa kitu ambacho kimekua kikimletea msongo wa mawazo. Naomba kujua kama upaa una tiba au ukikupata tu ndo milele, na kama una tiba ni ipi?
Wigi au superblack
 
utakuwa ni wewe tu, acha kumsingizia mwenzio
 
Labda ni kipara cha kurithi,, kwenye ukoo wake vipi kuna watu Wa design hiyo,,,, ili asihangaike bure
 
NAKUTAFUTIA NAMBA YA ROONEY HAPA...
Yan wengine tuna msongo wa mawazo ya kimaisha yeye ana msongo wa mawazo kwa SABABU YA UPARA...au kwa vile aliambiwa akili ni nywele!!!???
Aiseee...😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Au kaogopa aliposikia nchini msumbiji wasio na nywele wanatafutwa na kuuliwa sababu ni dili?
 
Back
Top Bottom