FatherOfAllSnipers
JF-Expert Member
- Mar 13, 2019
- 1,692
- 4,442
Hivi kuna faida nyingine ya kuwa na kitambi tofauti na ile ya kufutia kioo cha Simu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba uwasilisha....Hivi kuna faida nyingine ya kuwa na kitambi tofauti na ile ya kufutia kioo cha Simu?
Hili ni tatizo sasaNaomba uwasilisha....View attachment 1073050
huna kitu mfukoni kitambi kitaisha chenyeweMi najua kitambi kinaleta hasara hasa pale ambapo huna kitu mfukoni kwani kinawatamanisha watu kukulilia shida na vibaka kukupiga ngeta
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna watu wana kitambi lakini bado wanakula ugali wa shikamoohuna kitu mfukoni kitambi kitaisha chenyewe
Alafu bado anakula atiNaomba uwasilisha....View attachment 1073050
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alafu bado anakula ati
Kwa wengine kitambi ni kipaji...kinakuwepo tu bila kutegemea uwezo au lahuna kitu mfukoni kitambi kitaisha chenyewe
Samahani kwa utovu wa adabu:Nasikia kitambi huendana na kibamia,hivi ni kweli?
cc:tumbotumbo