Hivi kuna fundi anaye weza kuubalisha mlango wa TOYOTA SIENTA wa kuburuza kuwa mlango wa kawaida kama wa Rav4, IST?

polokwane

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2018
Posts
3,361
Reaction score
5,842
Msaada hapo tafadhari naipenda hii gari muundo wake ila ule mlango wake tu wa kuburuza kama wa noah ndio kikwazo kwangu nataman ufunguke kama wa Rav 4 au gari zingine zenye mlango kama hizo.

Kama kuna mtaalamu wa kufanya modification na ukakaa safi kabisa niunganishwe naye anihakikishie.
 
Sijajua vizuri gereji gani ila zile gari za watalii wanaziongezea urefu, wanazikata kule juu, hardbody za milango 3 wanaziongezea zinakuwa milango 4,yaani wale jamaa ni shida, check na mwenyeji wa Moshi mjini hapo utawapata.
Moshi Sehemu gani kiongozi
 
Sijajua vizuri gereji gani ila zile gari za watalii wanaziongezea urefu, wanazikata kule juu, hardbody za milango 3 wanaziongezea zinakuwa milango 4,yaani wale jamaa ni shida, check na mwenyeji wa Moshi mjini hapo utawapata.
Ngoja nilifanyie kazi hili haka kagari napenda tu kalivyo karefu ila mlango wake tu ukanichefua pamoja na kwamba sitakuwa nakatumia mimi lakin naamini mara moja moja nitakuwa nagongea .
 
Msaada hapo tafadhari naipenda hii gari muundo wake ila ule mlango wake tu wa kuburuza kama wa noah ndio kikwazo kwangu nataman ufunguke kama wa Rav 4 au gari zingine zenye mlango kama hizo.
Kama kuna mtaalamu wa kufanya modification na ukakaa safi kabisa niunganishwe naye anihakikishie.
NENDA TTR ,hakikisha una mpunga wa kutosh watakufanyia na utatoka unacheka kabisa
 
Sasa umependa gari kisha unaitoa dosari. Kwann usiitumie kwa namna ilivyo kutoka kiwandani?!

Kama unaona milango ya kufunguka tofauti ndio mizuri nakushauri ufanye kupitia tena kwenye stock ya wauza magari tafuta gari nyingine nzuri utakayoipenda kwa features zake zote. Kuliko uingie gharama kumodify na kuiharibu unecessarly.
 
Angepita na spacio tu kama anataka minibus....
 
Msaada hapo tafadhari naipenda hii gari muundo wake ila ule mlango wake tu wa kuburuza kama wa noah ndio kikwazo kwangu nataman ufunguke kama wa Rav 4 au gari zingine zenye mlango kama hizo.
Kama kuna mtaalamu wa kufanya modification na ukakaa safi kabisa niunganishwe naye anihakikishie.
Dah...
Hivi kwa nini sijawahi uliza humu swali hili?
Nazipenda...
Mlango wa toyota porte.!
Gari mzuri limlango sasa
 
Ingia team wish /spacio kama unataka watu saba.au rumion kama ni cc 1490.unachopendea
 
Hivyo unavyotaka ni gharama sana mkuu cha kufanya TIA sokoni hyo sienta alafu tafuta gariii ambayo ina milango unayotaka maana itapoteza mtoto pia baad ya kufanya modification ukitaka kuuza hutoweza mkuu
 
Ninachokishang'aa hatujawahi kuona gari ilioridhiwa na watanzania ikawa haina kassoro kwetu.
Hivi tuna matatizo gawa sisi wa Tz!!!!!
 
Sasa umependa gari kisha unaitoa dosari. Kwann usiitumie kwa namna ilivyo kutoka kiwandani?!

Kama unaona milango ya kufunguka tofauti ndio mizuri nakushauri ufanye kupitia tena kwenye stock ya wauza magari tafuta gari nyingine nzuri utakayoipenda kwa features zake zote. Kuliko uingie gharama kumodify na kuiharibu unecessarly.
Ni ushauri mzuri sana..

Na hajui tu, gharama yake hiyo inaweza kuruka hadi 2M kwa gari ya 2nd hand uliyonunua kwa mshikaji kwa 4M or 5M...

Sasa kwani asiuze tu kisha aongeze kidogo apate gari aipendayo...
 
Back
Top Bottom