Moshi Sehemu gani kiongozi
Ngoja nilifanyie kazi hili haka kagari napenda tu kalivyo karefu ila mlango wake tu ukanichefua pamoja na kwamba sitakuwa nakatumia mimi lakin naamini mara moja moja nitakuwa nagongea .Sijajua vizuri gereji gani ila zile gari za watalii wanaziongezea urefu, wanazikata kule juu, hardbody za milango 3 wanaziongezea zinakuwa milango 4,yaani wale jamaa ni shida, check na mwenyeji wa Moshi mjini hapo utawapata.
NENDA TTR ,hakikisha una mpunga wa kutosh watakufanyia na utatoka unacheka kabisaMsaada hapo tafadhari naipenda hii gari muundo wake ila ule mlango wake tu wa kuburuza kama wa noah ndio kikwazo kwangu nataman ufunguke kama wa Rav 4 au gari zingine zenye mlango kama hizo.
Kama kuna mtaalamu wa kufanya modification na ukakaa safi kabisa niunganishwe naye anihakikishie.
Angepita na spacio tu kama anataka minibus....Sasa umependa gari kisha unaitoa dosari. Kwann usiitumie kwa namna ilivyo kutoka kiwandani?!
Kama unaona milango ya kufunguka tofauti ndio mizuri nakushauri ufanye kupitia tena kwenye stock ya wauza magari tafuta gari nyingine nzuri utakayoipenda kwa features zake zote. Kuliko uingie gharama kumodify na kuiharibu unecessarly.
Dah...Msaada hapo tafadhari naipenda hii gari muundo wake ila ule mlango wake tu wa kuburuza kama wa noah ndio kikwazo kwangu nataman ufunguke kama wa Rav 4 au gari zingine zenye mlango kama hizo.
Kama kuna mtaalamu wa kufanya modification na ukakaa safi kabisa niunganishwe naye anihakikishie.
Moshi stand ya Mboya boss ndio kuna mafundi wanaotegemewa mpaka na Arusha.Pale Moshi ndo kuna gereji zinafanya hizo mambo za milango
Ni ushauri mzuri sana..Sasa umependa gari kisha unaitoa dosari. Kwann usiitumie kwa namna ilivyo kutoka kiwandani?!
Kama unaona milango ya kufunguka tofauti ndio mizuri nakushauri ufanye kupitia tena kwenye stock ya wauza magari tafuta gari nyingine nzuri utakayoipenda kwa features zake zote. Kuliko uingie gharama kumodify na kuiharibu unecessarly.
Moshi hata ukitaka Crown iwe pickup ni swala la muda tu na hela kidogo unabebea majani kabisa😅😅😅Pale Moshi ndo kuna gereji zinafanya hizo mambo za milango