Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,235
- 2,360
Gx 80 ndo gari gani mkuu me ndo naisikia leo
Ata Bajaj ya bei iyo utapata ya spana mkononiHabari wakuu.
Katika pitapita zangu kupatana.com leo nikakutana na hii ndinga ya 1.4m Mark 2 gx 80 (kwa mtu) imenitamanisha kweli nikaona hata mimi naweza vuta ndinga mwaka huu. Hivi ni kweli au jamaa ni tapeli??
Ata Bajaj ya bei iyo utapata ya spana mkononi
Gx 80 ndo gari gani mkuu me ndo naisikia leo
Baloon
Kwa gari hiyo unaweza pata kaka
Nimegoogle nikakutana na picha hizi. Kama ni haya mwambie una laki 8.View attachment 935704View attachment 935705View attachment 935706
Ndio unapata kwa bei hiyo. Hizo mark 2 (Gx80) six generation watu wengi walikuwa nazo zamani kwa sasa lazima uuziwe bei ya chini hazina uhitaji mkubwa.
Kama Gx100 unaipata kwa mil 2.5 kwa hiyo bei ni sahihi na hizo gari zina engine kama 1G FE, 1G GE, 1JZ na 3s.
Pia kulikuwa na engine ya diesel 2L.
Hizo ni aina za engine ambazo gari hiyo inatokanayo na ina share au kulingana au kufanana kila kitu na engine za gari kama Alteza, Verosa, Cresta Gx 100, Mark 2 Gx na Mark 2 Grande.Hapo kwenye engine nini umenipoteza
Ndio unapata kwa bei hiyo. Hizo mark 2 (Gx80) six generation watu wengi walikuwa nazo zamani kwa sasa lazima uuziwe bei ya chini hazina uhitaji mkubwa.
Kama Gx100 unaipata kwa mil 2.5 kwa hiyo bei ni sahihi na hizo gari zina engine kama 1G FE, 1G GE, 1JZ na 3s.
Pia kulikuwa na engine ya diesel 2L.
hilo ndio jina la gari alilotoa mjapanGx 80 ndo gari gani mkuu me ndo naisikia leo
Mimi nimewahi kuiona yenye 2L sema mmiliki hakuwa mtunzanji.hii ya diesel 2L ni very rare niliwahi kuiona moja tu tena sio kwa macho ilikiwa ni mtandaoni na ilikuwa ni 5 speed MT
Hiyo ni dharau kwa mali ya mtu, gari ununue laki 8 na wakati Sun-lg yenyewe ni 1.6 millionNimegoogle nikakutana na picha hizi. Kama ni haya mwambie una laki 8.View attachment 935704View attachment 935705View attachment 935706