Hivi kuna gari ya milioni 1 kweli au jamaa tapeli?

Hivi kuna gari ya milioni 1 kweli au jamaa tapeli?

Gx 80 ndo gari gani mkuu me ndo naisikia leo
Ni Toyota Baloon (Chaser na Mark II). Ni gari zilizotamba sana mwanzoni mwa miaka ya 2000!
1542363988069.png
 
Wabaongo kwakupenda kitonga ndio maana mnapigwa kwanini usijulize swali showroom za magari used Japan bei zake kuanzia 10m kwendelea unafikiri gari la 1.2 litakua gari au mazonge kila siku kucha kwamafundi gereji
 
umesaau 4s
Ndio unapata kwa bei hiyo. Hizo mark 2 (Gx80) six generation watu wengi walikuwa nazo zamani kwa sasa lazima uuziwe bei ya chini hazina uhitaji mkubwa.

Kama Gx100 unaipata kwa mil 2.5 kwa hiyo bei ni sahihi na hizo gari zina engine kama 1G FE, 1G GE, 1JZ na 3s.
Pia kulikuwa na engine ya diesel 2L.
 
Kama upo sawa na mimi kutojali fasheni chukua ni gari nzuri litaweza kukuhamisha toka sehemu moja mpaka nyingine, litaweza kukuwahisha unapokwenda, litaweza kukukinga na mvua na kukubebea tumizigo tudogotudogo kazi litafanya kama hizo wanazosema Ist, kuhusu spana mkononi siyo gari zote za bei ndogo, mambo ya gari la mwaka gani tuwaachie wenye hela
 
Back
Top Bottom