Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 6,076
- 15,685
Mkuu usizidharau hizi mark 2. Kama hiyo ya 2 ukiikuta na engine ya 1G GE au 1JZ ni moto wa kuotea mbali.Nimegoogle nikakutana na picha hizi. Kama ni haya mwambie una laki 8.View attachment 935704View attachment 935705View attachment 935706
Ni Toyota Baloon (Chaser na Mark II). Ni gari zilizotamba sana mwanzoni mwa miaka ya 2000!Gx 80 ndo gari gani mkuu me ndo naisikia leo
Hii sio GX80 ni GX 90, hata mimi sijawahi kuisikia GX80Ni Toyota Baloon (Chaser na Mark II). Ni gari zilizotamba sana mwanzoni mwa miaka ya 2000!
View attachment 936330
Basi ulikuwa bado uko mdogo sana!Hii sio GX80 ni GX 90, hata mimi sijawahi kuisikia GX80
Namiliki gari kwa hiyo sijasimuliwa, sikuwa naongelea hii hapa juu, nilikuwa naongelea iliyokuwa imeattachiwa ambayo najua ni GX90Basi ulikuwa bado uko mdogo sana!
Huku mtandaoni nimeona zikiitwa GX81 badala ya GX80. So itakuwa ni minor discrepancy.
View attachment 936339
Whatever the case am not interested in saloon cars.Mkuu usizidharau hizi mark 2. Kama hiyo ya 2 ukiikuta na engine ya 1G GE au 1JZ ni moto wa kuotea mbali.
Hizi gari zina thamani ndogo sababu ya ukubwa wa engine ila utumiaji wake wa mafuta ni kawaida.
Haya ni maoni yako kama yale yalivyokuwa maoni yangu. Tunaita FREEDOM OF SPEECH.Hiyo ni dharau kwa mali ya mtu, gari ununue laki 8 na wakati Sun-lg yenyewe ni 1.6 million
Gx 80 ndo gari gani mkuu me ndo naisikia leo
Ndio unapata kwa bei hiyo. Hizo mark 2 (Gx80) six generation watu wengi walikuwa nazo zamani kwa sasa lazima uuziwe bei ya chini hazina uhitaji mkubwa.
Kama Gx100 unaipata kwa mil 2.5 kwa hiyo bei ni sahihi na hizo gari zina engine kama 1G FE, 1G GE, 1JZ na 3s.
Pia kulikuwa na engine ya diesel 2L.
hilo ndio jina la gari alilotoa mjapan
tatizo huku tumezoea yale majina ya madalali wa kitanzania kama GX90 walivyoiita baloon [emoji23] au 200series kuiita V8 wakati V8 ni engine cylinder configuration
Aaaah okay kwa hiyo zipo ila ni za kuchora sio??
hii ya diesel 2L ni very rare niliwahi kuiona moja tu tena sio kwa macho ilikiwa ni mtandaoni na ilikuwa ni 5 speed MT
Nimegoogle nikakutana na picha hizi. Kama ni haya mwambie una laki 8.View attachment 935704View attachment 935705View attachment 935706
Nimegoogle nikakutana na picha hizi. Kama ni haya mwambie una laki 8.View attachment 935704View attachment 935705View attachment 935706