Inasemekana kwamba spare zake ni ngumu sana kupatikana labda uagize nje so likikongoloka itabidi ufugue bata tuHabari wakuu.
Katika pitapita zangu kupatana.com leo nikakutana na hii ndinga ya 1.4m Mark 2 gx 80 (kwa mtu) imenitamanisha kweli nikaona hata mimi naweza vuta ndinga mwaka huu. Hivi ni kweli au jamaa ni tapeli??
chaser hiyoGx 80 ndo gari gani mkuu me ndo naisikia leo
Au mark 2 ya kizamani kabla ya GX 100Gx 80 ndo gari gani mkuu me ndo naisikia leo
Au mark 2 ya kizamani kabla ya GX 100
itunze hyo mkuu.... mashine adimu sana.....ninayo mimi hiyo ya diesel engine gari hizi ni nzuri na imara 2.2engine nimeipaki tu